Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
Mkuu tunda linaluzungumzwa hapo ni Apple na sio Mbususu.Mkila tunda hakika mtadanja!
Nani ambaye hajawahi kula mbususu humu ili asife?
Kwanza Mungu hakumtupa shetani duniani, lakini badala yake yeye alimfukuza kutoka mbinguni. Lakini aliwatuma malaika kutoa tahadhali sayari zote kuwa yule mdanganyifu kafukuzwa huko mbinguni na hivyo hana makao na atajaribu kulughai ili kusudi apate makao.Hizi nadharia hazitafsiriki.
Kwann Mungu alimtupa shetani duniani
Unapokosea Mungu hakuhukumu moja kwa moja badala yake anakupatia tena nafasi ya kutafakari yale uliyokosea na kutubu na yeye anasamehe. Hii ni tabia yake Vivyo hivyo hata baada ya Lucifer kuwa kakosea alipewa nafasi ili apate kutubu kwa kile alichokifanya na afae tena. Na hii ndio sababu hakumtupa moja kwa moja motoni.badala ya motoni
Aliwaangamiza watu wenye dhambi ktk safina ila alimuacha shetani msababishi Ili aendelee kupotosha watuKwanza Mungu hakumtupa shetani duniani, lakini badala yake yeye alimfukuza kutoka mbinguni. Lakini aliwatuma malaika kutoa tahadhali sayari zote kuwa yule mdanganyifu kafukuzwa huko mbinguni na hivyo hana makao na atajaribu kulughai ili kusudi apate makao.
Na kabla ya kuja duniani kumbuka alipita katika sayari kadhaa na viumbe wapatikanao huko wote walimkataa(Kumbuka hapa alikuwa akiwaagiza malaika zake kwenda kujaribu). Lakini alipofika sayari yetu aliona sasa wanakwenda kukosa makao na hivyo kuamua kuingia mwenyewe kazini na sio kutuma malaika zake tena. Na hapa alifaulu na mara baada ya kuwa amefauru hii dunia ikawa himaya yake(yaani yeye ndie akawa mmiliki), lakini mara baada ya kifo cha yesu pale msabani aliikomboa dunia hii kutoka mikononi wa shetani.
Unapokosea Mungu hakuhukumu moja kwa moja badala yake anakupatia tena nafasi ya kutafakari yale uliyokosea na kutubu na yeye anasamehe. Hii ni tabia yake Vivyo hivyo hata baada ya Lucifer kuwa kakosea alipewa nafasi ili apate kutubu kwa kile alichokifanya na afae tena. Na hii ndio sababu hakumtupa moja kwa moja motoni.
Lakini pia nafasi hii ya kutubu huwa na kikomo mfano kwa Lucifer yeye alikuwa na nafasi ya kutubu mpaka pale yesu alipokuja na duniani na muda wa nafasi yake iliisha pale yesu alivyotundikwa msabani na kusema basi imekwisha. Hapo ndipo ulikuwa ukomo wa muda wake kutubu ulipokuwa umeishia.
Vivyo hivyo hata kwetu sisi hii nafasi ya kutubu tunayopewa ina kikomo chake, mfano mimi nikifa basi muda wangu wa kutubu unakuwa umeisha hivyo kama nilikuwa na dhambi basi nitaendelea kuwa nazo.
Soma ulichoandika halafu tafakari zaidi mkuu.mkuu kumbuka wakati Mungu anamuumba mwadamu haikuwa lengo lake mwanadamu kufa ila alimwambia utakapo kula mtu huo ni hakika utakufa.
Na mimi na wewe tunajua kabisa kuwa shetani ndio sababu ya mwanadamu kula lile tunda kwa maana yeye ndie alie washawishi hivyo ni Lucifer anapaswa kulaumiwa juu ya vifo vya wanadamu.
Hata Sodoma pia iliwaua wenye dhambi ila pia bado shetani aliachwa bado yupo anapeta.Aliwaangamiza watu wenye dhambi ktk safina ila alimuacha shetani msababishi Ili aendelee kupotosha watu
Mkila ni hakika mtakufa, aliye kula ni mwanadamu sasa huo ulikuwa uchaguzi wa nani?Soma ulichoandika halafu tafakari zaidi mkuu.
Unasema wakati Mungu anamuumba mwanadamu haikuwa lengo la Mungu binadamu afe
Inakuwaje Mungu asiwe na lengo la binadamu kufa halafu akiumbe kifo? Au unataka kusema kifo kiliumbwa kwa lengo lipi?
Unazidi thibitisha anachosema mleta mada.Mkuu moto ni kwa wale viburi kama huyu mtoa mada, Mungu ni mwema siku zote
Yanaitwa maswali yasiyo na majibu.Hata Sodoma pia iliwaua wenye dhambi ila pia bado shetani aliachwa bado yupo anapeta.
Kwa kweli hapa sina majibu sahihi ya kukujibu labda tumuliize mwenyewe.
Aisee kuliko kuwa mnafiki katika Mungu ni Bora uchague moja, Mungu au shetani ijulikane mojaWengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
Umejenga nyumba,Hata Sodoma pia iliwaua wenye dhambi ila pia bado shetani aliachwa bado yupo anapeta.
Kwa kweli hapa sina majibu sahihi ya kukujibu labda tumuliize mwenyewe.
Ukifa habari inaishia hapo mzee, hakuna maisha baada ya kifo, hizo mi propaganda za watu weupe na waarabu ili tuwe na tumaini.kutuumba ilikuwa mpango wake, lakini kifo kwa mwanadamu haikuwa mpango wake.
Kuthibitisha hilo hata baada ya mwanadamu kuwa ameanguka dhambini bado amemtoa mwanae ili kuweza kurudisha hali ile ya mwanadamu iliyopotea ya kutokufa.
Yohana 3:16-17 "16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. 17Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye."
kwa hivyo mkuu kama mimi na wewe tukimpokea ni hakika baada ya haya maisha tutaishi milele. Nipende kukualika tufanye jitihada ili tusiikose nafasi ya pili tuliyopewa ya kuishi milele. Kumbuka aliye mwangusha Adam na mpaka leo kifo kipo bado pia lengo lake ni kutuangusha ili pia tuikose nafasi hii ya upendeleo iliyotolewa tena.
Very funny! Yaani watenda dhambi wakaangamizwa kwa maji..brutal death, akamwacha ibilisi, shetani msababishi wa dhambi aendelee kutamba duniani.Aliwaangamiza watu wenye dhambi ktk safina ila alimuacha shetani msababishi Ili aendelee kupotosha watu
Kabla ya kujadili uchaguzi. Tuanzie kwanza kwenye msingi wajambo ambalo ni uwepo wa kifo. Kwanini Myngu aumbe kifo?Unazidi thibitisha anachosema mleta mada.
Hivi baba yako akianza kuchinja wadogo zako wanaokosea na wewe akakupa mazawadi sababu hujakosea utakuwa na furaha kweli?
Kifo kipo ili wengine wapate kuishi. Usipokufa unawanyima haki ya kuishi viumbe vingine kama funza n.k .Kabla ya kujadili uchaguzi. Tuanzie kwanza kwenye msingi wajambo ambalo ni uwepo wa kifo. Kwanini Myngu aumbe kifo?
Hii ni kwa mujibu wa mtazamo wako, niliye m quote alikuwa na imani tofauti na ndio maana swali langu lililenga kwake aniambie imekuaje aseme Mungu hakuwa na lengo la binadamu wafe ilihali uwepo wa kifo kimetokana na huyo huyo Mungu.Kifo kipo ili wengine wapate kuishi. Usipokufa unawanyima haki ya kuishi viumbe vingine kama funza n.k .
Ng'ombe na mbuzi ili umle si lazima afe?
Ni binadamu tunajipa upekee kuwa ss ni wa pekeee sanaaa kuliko wanyama sababu tunasema tuna nafsi ya utambuzi ila wanyama nao sioni kama wana tofauti na sisi.
Wanaumia, wanapata uchungu, wanafurahi, wanakula, wanajua huu ni muda wa kulala. Wanajilinda, wanawalinda wanaowapenda. Sijajua kwann tunadhani hawana nafsi ya utambuzi.