Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
571
Reaction score
1,829
Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier.

Mkate wananua mlimani mall tu

Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa,

Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth.

Nilijihisi niko mwenyewe ila as time goes on najiona siko mwenyewe, tupo wengi wenye depression humu🤣🤣
 
Inasikitisha kw kweliii kumbe una depression
 
Inawezekana mkawepo wachache wenye kujali/kufuatilia wengine wanaishi vipi. Usijitafutie depression za bure bure za kipuuzi, as long as unapumua, unaishi kwa amani, usijichanganye kutafuta cha/ya mtu ama kujihangaisha kujua anaishi vipi. Ishi maisha yako ndugu yangu, itakuepusha na vitu vingi visivyo na faida. Ridhika na ulicho nacho
 
Utu wao unatosha Kama maandiko yao Yana kufaa hayo mengine Kama magali pesa n.k huja na kuondoka

hivyo si vitu vya kujivunia Bali utu naa namna maandiko yao yanavyo kisaidia mkuu
 
Haijalishi Kila member wa JF ana cheo Cha "Mkuu"
 
Hii mindset sijui unaitoa wapi, walioko jamii forum ni watu walioko mtaani kwako, wilayani kwako, au hata chuoni kwako. Sio watu kutoka sayari ingine, grow up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…