Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

We acha kuhangaika na Info za watu wanazoweka hadharani. Sehemu yoyote kupata up to date info ni kazi.
Au ndo unataka ukipata mpenzi tu uende kwenye sosho network zote ukaaupdate. Ukipigwa chini ukaupdate tena?
aaaah we utakuwa mtoto wa mama
 
Ogopa wanaojiita single,watu miaka na miaka fb au whatsapp au wapi hawana picha za wapenzi au hata za familia ili wasitoswe,ukimwuliza mtu yupo fasta kujibu yupo single ila unaona kama umri umeenda kiasi flani.ukiview huoni picha ya mke au mme wake,basi hata ya mtoto.

Ogopa sana wanaojiita single ni wahuni mno unaweza kuuawa kwa rungu kwenye mapaja ya mtu.

Haha Viol katika ubora wake
Kuna raha ya kuwa single bana utuwache
 
Last edited by a moderator:
aliyekuambia mtu single kicheche nani...au we ndio unaanza shule eeh
 
hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi

Mbona kama uko so familiar hapa JF? Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Ogopa wanaojiita single,watu miaka na miaka fb au whatsapp au wapi hawana picha za wapenzi au hata za familia ili wasitoswe,ukimwuliza mtu yupo fasta kujibu yupo single ila unaona kama umri umeenda kiasi flani ukiview huoni picha ya mke au mme wake,basi hata ya mtoto.

Ogopa sana wanaojiita single ni wahuni mno unaweza kuuawa kwa rungu kwenye mapaja ya mtu.
ha ha ha ha ha a
 
Back
Top Bottom