Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Hahahahah
nan anakumanage?
Hahahahah
hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi
mi kidume bhana,ila napenda single haswa sitaki kuaibishana mble ya safari
Maelezo kamili ya game la Tanzania na Senegal kwa waliolimiss
BAO lililofungwa kwa kichwa na Traore katika dakika ya 35 katika mchezo ulioisha muda mfupi uliopita, limeiwezesha Senegal kupata ushindi wake wa kwanza dhidi ya Tanzania katika mchezo wa michuano ya CHAN.
TRAORE alifunga bao hilo akiunganisha krosi safi kutoka upande wa kulia wa Uwanja baada ya mabeki wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Nadir Haroub Cannavaro na Swed wakiwa wameduwaa.
Licha ya kufunga bao hilo katika mchezo huo wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN), Stars ilionekana kuwamudu Senegal hasa katika dakika za mwanzo na mwisho za pambano hilokali na la kusisimua.
Mshambuliaji wa Stars, Jerry Tegete alikosa bao la wazi katika dakika ya nane ya mchezo huo baada ya kupiga shuti kali kuelekea langoni kwa Senegal, lakini mpira huo uliwababatiza mabeki.
Dakika nne baadaye, Mrisho Ngassa alipiga krosi safi kuelekea langoni kwa Senegal lakini haikuweza kuunganishwa na washambuliaji wenzake kutokana na kutokuwapo katika eneo la hatari kwa mchezaji yeyote wa Stars.
Bao hilo la Senegal lilidumu hadi mapumziko licha ya Kocha wa Stars, Marcio Maximo kuwatoa Bonny na Haruna Moshi Boban katika kipindi cha kwanza na nafasi zao kuchukuliwa na Nurdin Bakari na Mussa Hassan Mgosi.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi lakini hakuna timu iliyoweza kupata bao japokuwa kila wakati safu za ushambuliaji za timu hizo ziliweza kufika katika lango la wapinzani wao.
Stars itashuka tena uwanjani keshokutwa kucheza na wenyeji Ivory Coast ambao katika mchezo wa ufunguzi walifungwa mabao 3-0 na Zambia.
Stars iliwakilishwa na; Shaaban Dihile, Shadrack Nsajigwa, Juma Jabu, Nadir Haroub Cannavaro, Salum Swed, Geofrrey Bonny, Haruna Moshi Boban, Henry Joseph, Nizar Khalfan , Mrisho Ngassa na Jerry Tegete
Source: nifahamishe.com
avatar ni picha ya ubavu
mkuu usiwe aware bhana na avatar
then ikiwa ya kike?
................ok
Matola acha hizo bhana,JF nani atanishika au mpaka tupeane id halisi tusomane mwenendo wa maisha,hamna mtu kushikwa bwana,hamna limbwata,limbwata iwe ya avatar tu mbona nyakati flani we lara 1 uliweweseka bhana ingawa unajifanya gangasta na hadcore humu(tuache bhana sitaki mention hata sijaweka alama ya @ ,maana ungekuwa mpole)Kaka kama umeshikwa mpaka huku JF uweke picha ya shemeji basi wahi haraka kwa sangoma ukalizimuwe hilo limbwata.
Sitaacha kusema single hadi siku Pete ya Ndoa itapoingia kwenye kidole changu..
Afu sio kila kitu chakuanika kwenye mitandao.
Hata wasemao married hao nyoka wakubwa ogopa