Wengi wamefiwa na Baba zao

Wengi wamefiwa na Baba zao

ati msichana asiye na baba ni rahisi wew shika adabu yako stor nyingne maliziaga huko kijiweni habar za kutuletea thread kama hizi ni kutukashifu mxiuuu
manka wangu badala ya kupigizana kelele zisizo na mashiko jongea kwa PM tuongee yetu.
 
Wasichana wengi wangapi ulikutana nao mkuu? from there mayb tunaweza consider kama hiyo research yako ipo sawa, otherwise hizo zitakuwa just mere generalizations...
 
mi sijaelewa yaan wanawake waliofiwa ni rahis ukiwatongoza au!!!
 
Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana.

Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki.

Kwa kweli ni huzuni, nimeamini kuwa msichana asiye na Baba ni mwepesi sana.

Ndo maana bofloo we
 
No wonder akili zako za kiboflo boflo
 
Kwa hyo na wanaume waliofiwa na baba zao pia ni wepesi maana ck hz haki saw kwa wote
 
ati msichana asiye na baba ni rahisi wew shika adabu yako stor nyingne maliziaga huko kijiweni habar za kutuletea thread kama hizi ni kutukashifu mxiuuu
Bofloooooooooooooooooooooooo
 
Mbona wewe pia ni rahisi? Umefiwa na nani Boflo?
 
Last edited by a moderator:
kaka sidhan kama hayo ni maneno ya kusema kijana kama wewe ambae umelelewa na wazazi.

Kawaombe msamaha wazaz wako kwa kutokufundsha maadili
 
Mmmh utatake radhi tuliofiwa na baba hii post imenikumbusha machungu ya kufiwa na mzazi tena baba.
 
kwa kuwa tuliomba kufiwa?
kuna vitu vinaumiza eeh hivi unaanzaje kuwaambia watu hivi?
haya bana heri yako wewe ni mwema sana mbele za mungu hadi hajawaza kuchukua mzazi wako
acha sie tuwe wepesi!!!!
 
Back
Top Bottom