Wengi wamefiwa na Baba zao

Wengi wamefiwa na Baba zao

Duuh, kama tumekuwa na watafiti kiasi hiki basi maendeleo yamekaribia.
 
Mbona wana jf wa sasa mna vijembe sana.....
haya ni madhara ya kusikiliza taarabu za mipasho
Mi ndo mana nakumisiga!
Humu siku hizi vigodoro tu!
I miss you and wooote wa enzi zile na nyaksti zetu!
Af King'asti mpk lewo bado anasema eti umefilisika hata hela ya kutununulia gauni kimino jeupe huna!
Eti kweli?
 
Last edited by a moderator:
Kipo kitu unataka kusema rafiki!
Mi nshakusoma sema na we kiswahili hujui kingereza shida kihindi ndo kabisaaaa!
Ngoja nikuitie Mtambuzi akuwekee hii vizuri mi ntakudai shopping voucher bure wakati unapumulia mashine tayari
 
Last edited by a moderator:
Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana.

Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki.

Kwa kweli ni huzuni, nimeamini kuwa msichana asiye na Baba ni mwepesi sana.

Braza habari za masiku tele?
 
ww ungemalizia kbsa kusema "wengi wa hao videmu mama zao ni wamachame",usipindishe ukweli mkuu!
 
Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana.

Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki.

Kwa kweli ni huzuni, nimeamini kuwa msichana asiye na Baba ni mwepesi sana.
Leo sijui umekunywa ya mnazi ama ulanzi nini? Maana si kawaida yako kabisa
 
ati msichana asiye na baba ni rahisi wew shika adabu yako stor nyingne maliziaga huko kijiweni habar za kutuletea thread kama hizi ni kutukashifu mxiuuu
 
Back
Top Bottom