Hi
Mimi nilibahatika kupata kazi sehemu fulani mshahara ulikuwa mdogo ila nilificha mtu yoyote asijue napokea kiasi gani
Sasa siku moja katika kuongea nikajikuta nimesema kwa ndugu mshahara wangu wakaanza kunichamba hapa ushibi bora uache iyo kazi tutakutafutia sehemu nyingine acha mara moja nilisemwa sana mengine siwez ongea
Nikaacha ile kazi sasa uhuu yapata mwezi wa nane tangu niache wao wenzangu mambo yao yana nyooka mimi nimekuwa omba omba kwao nachukia kipindi kile nilikuwa napata sawa mshahara kidogo ila nilikuwa siombi