mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
utoto raha
Hakunaga watu wanafelisha wenzao kama ndugu wa karibu stand on your own no one is happy with success wengine wanapenda uwe chini yao so that they use you fikiria mangapi umewafanyia kwa kipindi umeacha kazi, open your mindHi
Mimi nilibahatika kupata kazi sehemu fulani mshahara ulikuwa mdogo ila nilificha mtu yoyote asijue napokea kiasi gani
Sasa siku moja katika kuongea nikajikuta nimesema kwa ndugu mshahara wangu wakaanza kunichamba hapa ushibi bora uache iyo kazi tutakutafutia sehemu nyingine acha mara moja nilisemwa sana mengine siwez ongea
Nikaacha ile kazi sasa uhuu yapata mwezi wa nane tangu niache wao wenzangu mambo yao yana nyooka mimi nimekuwa omba omba kwao nachukia kipindi kile nilikuwa napata sawa mshahara kidogo ila nilikuwa siombi
Nilishawahi kufanya maamuzi magumu nyumbani, kuna ndugu wakashangaa na kuuliza, wewe mbona unafanya hivyo?Hakunaga watu wanafelisha wenzao kama ndugu wa karibu stand on your own no one is happy with success wengine wanapenda uwe chini yao so that they use you fikiria mangapi umewafanyia kwa kipindi umeacha kazi, open your mind
Game changer heads upNikishawahi kufanya maamuzi magumu nyumbani, kuna ndugu wakashangaa na kuuliza, wewe mbona unafanya hivyo?
Miaka 10 baadaye wakaniita, wanaomba msaada wa maisha, wanasema wewe mchizi ulikuwa mbele yetu kwa miaka 10, sisi tulikuwa hatujakuelewa tu wakati ule.
Ningewasikiliza ningekuwa bado sana kufikia malengo fulani sasa hivi.