Wengi humu ni wanasiasa wa majitaka na chuki kwa watu kama Babalevo

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa.

Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote waliomtangulia hapo Kigoma huu ni wakati wa kuwekeza kwa wasiosoma kwani WASOMI wa Tanzania ni mabumunda vichwani.
 
Samia analinda maslahi yake Kwa diamond aje ampigie kampeni
Unaonaje na wewe ukilinda maslahi yako kwa watoto wako ili waje wakupigie kampeni?Samia alinde maslahi kwako anakujua lakini?wewe umewahi kulinda maslahi ya familia ya jirani yako bila kuwa na faida nayo?acha ujinga kuwa na akili siku mojamoja
 
Mimi sio.mwanasiasa ila babaleve Hana hadhinya kuwa mbunge katika taifa la watu wenye akili kubali kataa
 
Wewe ni mama levo?
 
Binafsi sioni tatizo la Baba Levo kuwa mbunge kwani katiba inamruhusu. Tuache majungu na wivu wa kijinga hatma ya mtu huamuliwa na Mungu. Swala la usomi wa mbunge linahusika vipi na maendeleo ya jimbo? Kwa hapa kwetu mifumo ndio huamua maendeleo sio mbunge. Kwani huko ambako wapinzani nao walipewa ubunge walifanya nini cha ajabu kiwazidi wengine? Tuache wivu na dharau bungeni hakuna kucalculate hesabu wa physics.
 
"WASOMI wa Tanzania ni mabumunda vichwani."
Hatari sana mzee sio kwa tusi hili kubwa kwa wasomi wa Tanzania.
 
WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa.

Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote waliomtangulia hapo Kigoma huu ni wakati wa kuwekeza kwa wasiosoma kwani WASOMI wa Tanzania ni mabumunda vichwani.
Huelewi kitu wewe. Kinachoangaliwa sasahivi ni trending basi, kosa unalofanya ni kumdharau msomi na elimu yake au umesahau kuwa wasomi ni watumwa wa wanasiasa na hiyo imetengenezwa na SIASA. Yaani leo hii Kabudi anaenda kuchangia hoja na Babalevo! SMH

Ndio yaleyale mtu anakuja kuomba barabara kwenye bunge la bajeti. Kwenye vikao vingine huko nyuma alikua kimya anapiga tu meza.
 
Sasa katika Nchi hii ukiangalia hao wabunge Waliopita kabla ya baba Levo kuna walio kuwa afadhali au angalau mi naona kama kapata nafasi aitumie,Nchi yenyewe imekuwa shamba la bibi .
 
Hii Nchi kila mtu anaweza kuwa kiongozi yaani swala la kupiga meza na kusaini kuchukua posho nani hatoliweza 😁
 
Mimi sio.mwanasiasa ila babaleve Hana hadhinya kuwa mbunge katika taifa la watu wenye akili kubali kataa
Sasa waTanzania mnaakili gani duniani?ebu nitakie wabunge wako wenye hadhi na walichofanya hapa Tz,haya sasa mpitishe huyo wako mwenye hadhi sasa,tatizo mnakaririr wasomi na matajiri ndiyo wamebarikiwa kuongoza na ndiyo wanahadhi ya kuwa wabunge hamjui elimu nal utajiri vinakutwa duniani ila UONGOZI mtu anazaliwa nao,hao woooote walioachwa huki kwingine na elimu zao huwaoni ila Babalevo tu,shit hole!!

Mpeleke babako akapigiww kura za Babalevo awe mbunge wa kigoma kama unavyotaka wewe akuwakilishe uliko
 
Huelewi kitu wewe. Kinachoangaliwa sasahivi ni trending basi, kosa unalofanya ni kumdharau msomi na elimu yake au umesahau kuwa wasomi ni watumwa wa wanasiasa na hiyo imetengenezwa na SIASA. Yaani leo hii Kabudi anaenda kuchangia hoja na Babalevo! SMH

Ndio yaleyale mtu anakuja kuomba barabara kwenye bunge la bajeti. Kwenye vikao vingine huko nyuma alikua kimya anapiga tu meza.
Vyovyote nad popote inatakiwa mbunge aombe mahitaji ya jimbo lake siyo kupangiwa,wewe ni jinga kwani ujumbe unakuwa umefika au haujafika?
 
Mbunge sio kuomba mahitaji fulani kwenye jimbo lake. Mbunge anahusika kufanya ukaguzi mbalimbali kupitia kamati zitakazoundwa, mbunge anahusika kwenye kutoa maoni na hoja juu ya muswada fulani kuelekea kupitishwa kuwa sheria. Kama kitabu hamna hayo yote kuyatekeleza kiufasaha hutaweza.

Yawezekana wewe na hao wengine mnaodharau elimu ni matokeo ya siasa mbovu ndio maana mna confidence ya kuandika pumba hapa.
 
Kudharau wasomi kwa siasa zetu ni sawa na kumwaminia mgambo kwenye vita iliyomshinsa mjeda.
 
WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa.

Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote waliomtangulia hapo Kigoma huu ni wakati wa kuwekeza kwa wasiosoma kwani WASOMI wa Tanzania ni mabumunda vichwani.

MAMA LEVO UMEAMUA KUWACHANA WAPINZANI WENU? 🤣🤣🤣
 
Kudharau wasomi kwa siasa zetu ni sawa na kumwaminia mgambo kwenye vita iliyomshinsa mjeda.
Hao wasomi wamefanya nini cha maana mbona mnawalalamikia watoke madarakani na kuwabadirisha kila kukicha na hatuoni tija?
 
Back
Top Bottom