golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
Kule watu ni workaholic, wanafanya kazi mpaka wanafia maofisini.... Wakitoka ofisini hawana mda wa tendo wamechoka mbayaaaa
Bila shaka huko japan hakuna kuchepuka !!
watu wako bize na kazi kukuza uchumi tofauti na Afrika,watu wapo wapo tu siku ziende
Kama mapenzi yanazuia kufanya kazi wafaransa wangeongoza kwa umasikini...
good ni relative term...wenyewe wanaona aibu...ha ha ha
new generation wanajitahidi ku act malovedave ya kizungu...unakuta watu wamekumbatiana tu kwenye train...
sasa sijui kama wakioana wana sustain au wanarudi kwenye asili...