Wengi hawana muda wa tendo la ndoa Japan

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,086
Reaction score
34,883
150120142347_japan_sex_512x288_bbc_nocredit.jpg

Watu wazima hawana muda wa tendo la ndoa hali inayosababisha kupungua kwa idadi ya watu Japan

Asilimia 50 ya watu wazima nchini Japan hawashiriki katika tendo la ngono kulingana na utafiti, swala linalosababisha kupungua kwa idadi ya watu nchini humo.

Ripoti hiyo iliofanywa na shirika la upangaji uzazi nchini humo imebaini kwamba asilimia 49.3 ya watu 3000 waliohojiwa hawakushiriki ngono mwezi uliopita.

Kati ya asilimia 48.3 waliohojiwa walisema kuwa hawakushiriki katika ngono kwa mwezi moja huku asilimia 50.1 ya wanawake wakijizuia kushiriki ngono.Takwimu zote zilipanda kwa asilimia 5 kutoka kwa ufatiti uliofanywa awali mwaka 2012.

Walipoulizwa ni kwa nini hawashiriki katika tendo la ngono, asilimia 21.3 ya wanaume walio katika ndoa walidai kuchoka baada ya kutoka kazini huku asilimia 15.7 wakisema kuwa hawana haja ya kushiriki katika tendo la ngono baad ya wake zao kujifungua.

Kati ya wanawake asilimia 23.8 walisema kuwa tendo la ngono linasumbua na asilimia 17.8 wakidai walikuwa wamechoka.

Swala jengine la kushangaza ni kuongezeka kwa idadi ya vijana ambao hawana hamu na tendo la ngono.Zaidi ya asilimia 20 ya wanaume walio kati ya umri wa miaka 25 na 29 hakuwa na hamu ya kufanya ngono.

Chanzo:
BBC
 
Nimeiskia leo asubuhi
Radio Times sasa walivyokuwa wanaichambua ni full kuchekesha,kweli Japan wako bize sana na maswala ya uchumi,kila jambo lina faida na hasara zake.
 
Hawajapata wanaume au wanawake wa kiuhakika wa kuwashughulikia barabara,wangepata Wangekuwa kila siku hata wanatoroka kazini kuwahi kupata ngono.

Wanaume na wanawake wa kitanzania mlio na nguvu za kushughulikia mtu barabara kitandani fursa hiyo.Anzeni safari kuelekea japan kwa kazi moja tu ya kitandani.Fursa hiyo.Ukipata mjapani hakikisha unamshugulikia hadi aehuke kwa penzi.
 
Waafrika Ngono ndio starehe yetu...hatuna vacation za holiday wala intertainment..shughuli ni moja "Kiboboro cha saadoma"

Hawajapata wanaume au wanawake wa kiuhakika wa kuwashughulikia barabara,wangepata Wangekuwa kila siku hata wanatoroka kazini kuwahi kupata ngono.

Wanaume na wanawake wa kitanzania mlio na nguvu za kushughulikia mtu barabara kitandani fursa hiyo.Anzeni safari kuelekea japan kwa kazi moja tu ya kitandani.Fursa hiyo.Ukipata mjapani hakikisha unamshugulikia hadi aehuke kwa penzi.
 
150120142347_japan_sex_512x288_bbc_nocredit.jpg

Watu wazima hawana muda wa tendo la ndoa hali inayosababisha kupungua kwa idadi ya watu Japan

Asilimia 50 ya watu wazima nchini Japan hawashiriki katika tendo la ngono kulingana na utafiti, swala linalosababisha kupungua kwa idadi ya watu nchini humo.

Ripoti hiyo iliofanywa na shirika la upangaji uzazi nchini humo imebaini kwamba asilimia 49.3 ya watu 3000 waliohojiwa hawakushiriki ngono mwezi uliopita.

Kati ya asilimia 48.3 waliohojiwa walisema kuwa hawakushiriki katika ngono kwa mwezi moja huku asilimia 50.1 ya wanawake wakijizuia kushiriki ngono.Takwimu zote zilipanda kwa asilimia 5 kutoka kwa ufatiti uliofanywa awali mwaka 2012.

Walipoulizwa ni kwa nini hawashiriki katika tendo la ngono, asilimia 21.3 ya wanaume walio katika ndoa walidai kuchoka baada ya kutoka kazini huku asilimia 15.7 wakisema kuwa hawana haja ya kushiriki katika tendo la ngono baad ya wake zao kujifungua.

Kati ya wanawake asilimia 23.8 walisema kuwa tendo la ngono linasumbua na asilimia 17.8 wakidai walikuwa wamechoka.

Swala jengine la kushangaza ni kuongezeka kwa idadi ya vijana ambao hawana hamu na tendo la ngono.Zaidi ya asilimia 20 ya wanaume walio kati ya umri wa miaka 25 na 29 hakuwa na hamu ya kufanya ngono.

Chanzo:
BBC

Hiyo ni kali sana.Vyema wangehamia Bongo.
 
Sijasoma hiyo article ila nilishawai sema siku moja humu wa Japan wanaongoza duniani kwa kutojua mapenzi watu wakatoa povu....sijui walikuwa na maslai wakaguswa ...te te te...
Unaambiwa wana ndoa wanakutana wanapotaka kutengeneza watoto tuuu...ha ha ha otherwise hata vyumba hawachangii...
 
Which is good!

good ni relative term...wenyewe wanaona aibu...ha ha ha
new generation wanajitahidi ku act malovedave ya kizungu...unakuta watu wamekumbatiana tu kwenye train...
sasa sijui kama wakioana wana sustain au wanarudi kwenye asili...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Basi watakuwa ni race ya kwanza duniani kuwa extinct.
 
Tabia yao ya kutokunyoa mavuzi,pasi na mengineyo yanapunguza akshi majinun.....mtoto wa kibantu mguu mkali,kule ndani ameprun vuvuzela,tako laini,mistari utam nyuma ya goti....dah,joto la mwili la wastani sasa hapo utaachaje utamu upite....!!tatizo hawana mvuto hao.
 
Hahahaha you made my day. Suala la kunyoa hata wachina linawahusu. Ila husaidia kutunza ngozi zao kwani hubaki laini zisizo na mikwaruzo kwaruzo.
 
Last edited by a moderator:
good ni relative term...wenyewe wanaona aibu...ha ha ha
new generation wanajitahidi ku act malovedave ya kizungu...unakuta watu wamekumbatiana tu kwenye train...
sasa sijui kama wakioana wana sustain au wanarudi kwenye asili...

Tension za maisha zinachangia dada yangu. Uliisha kupita na shemeji kwenye misukosuko ya maisha? Muda wote akili ipo kwenye kutafuta ufumbuzi wa hili na lile, saa ngapi ukumbuke hata kukumbatiana?
Sasi huko Japan inasemekana, kwa walio wengi, kuishi tu ni misukosuko tosha, hebu wewe mwenyewe tafakari!
 
Back
Top Bottom