Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
Niongee machache kuhusu vitabu vya dini.

Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism)

Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu.

Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi.

Tanakh ni Biblia ya Kiyahudi iliyogawanyika katika vipengele vitatu (Torah, Nevi'im na Ketuvim)
Torah ni vile vitabu vitano vya Musa (Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Leviticus, Numbers na Deuteronomy) wenyewe wanaita 'Pentateuch'
Nevi'im ni maandiko ya manabii na Ketuvism ni maandiko ya Zaburi na mengineyo.

Quran Tukufu pia imerudia kwa kuhariri kidogo tu maandiko ya Torah, Nevi'im na Ketuvim pamoja na Evangél (Injili)

Ndio kusema vitabu vyote vitatu vya dini kubwa duniani vinafanana katika mengi na kutofautiana katika machache.

Biblia ya Wakristo imenukuu mengi kutoka kwenye Tanakh na kisha kuongezea maandishi mengine mengi ya Wakaldayo, Wakushi (kemet au Misri ya kale), Wamesopotamia, Wasumeri na Warumi.

Ndio kusema Biblia ndiyo Kitabu chenye siri nyingi zaidi hadi sasa pengine kuliko vitabu vingine vingi vya elimu ya siri (esoteric knowledge)

Lakini, hii Biblia ambayo kila mtu anayo imehaririwa zaidi ya mara 10, kuna vitu vimeongezwa na vingine kupunguzwa.
Ndio maana kwenye Theology kuna vitabu tunaambiwa ni THE LOST BOOKS (vitabu vilivyopotea) na THE STOLEN BOOKS (vitabu vilivyoibiwa)

Niliwahi kuhoji, kama kuna vitabu vinajulikana kwamba viliibiwa, NANI ALIVIIBA na kama kuna vitabu vilivyopotea NI NANI ALIVIPOTEZA?

Na ni vitabu gani?

Na kwa nini viibiwe na vipotee?

Sikupata majibu wakati huo kutoka kwa Waalimu wangu wa Theology.
Nilikuja kupata majibu sahihi wakati nikiwa kwenye safari hii ya utambuzi.

Lakini, ninachotaka kusema ni kwamba BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi sana vyenye elimu kale, elimu ya siri na iliyowasilishwa kwa lugha ya mafumbo.

Ni mpaka uwe umeangaziwa ufahamu wako (enlightened) ndipo utakapoweza kutambua mafumbo yaliyomo kwenye maandishi ya kwenye Biblia.

Idadi kubwa ya waalimu wa Biblia, wakiwemo wachungaji hawana uwezo wa kufumbua hayo mafumbo, wanasoma na kufundisha kama yalivyo na ndio maana wafuasi wao wanafanya tu kuyakariri na hawapati matokeo.
Ni waalimu wachache sana wa Biblia wenye ufahamu wa kuvunja hiyo mihuri (kufumbua hayo mafumbo) na hawawezi kuyaeleza hayo hadharani.

Kwa hiyo ni muhimu kuzingatia hilo.

Mimi nimesoma Biblia mara nyingi zaidi kuliko Kitabu kingine chochote na nimekuja kugundua Elimu zote za siri zimo ndani ya Biblia ila 'hazioenekani' kwa urahisi.

Nina Biblia tofauti tofauti 8 na zote zimeandika siri nyingi sana ambazo zipo pia kwenye masomo yote ya kiroho na kwenye jumuiya za siri.

Wale waliokwisha fika level 3 kule Illuminant na Freemasonry watakubaliana nami kwamba huwezi kupata 'badge' ya mwanajumuhia bila kufaulu kuvunja angalau ¼ ya codes zilizomo kwenye Biblia na Biblia ndio Kitabu Kikuu kwa wanafunzi wote chipukizi wa hizi Secret socities nyingi.

Biblia zipo makanisani, misikitini, mahekaluni hadi vilingeni.
Gland Lodges zote kuna Biblia za kila aina huko.

Kwa hiyo, msichukulie kawaida hiki Kitabu.

Nitarejea . . .
 
Wewe you ur 'too controversial' maandishi yako yana jingong'ana yenyewe sijui lengo la wuzi wako nini?

1. Eti bibulia ina version zaidi ya tatu, kuna zilio futwa na zilio ongezwa hiyo inabaki kua authentic book?

2 . Eti kwenye bibulia kuna secretes nyingi za uchawi wa freemason hiyo bado ina baki kua devine book.?

3.eti bibulia imekalili kutoka kwa kitabu cha wayahudi kwahiyo ni copy and paste ya Torati hapo inabaki kua bibulia au version torah.

4.Eti dini kuu ni tatu umetumia kigezo gani kusema Judaism ni miongoni mwa dini kuu dunian?

Walokole mna problem nyingi mentally mnavuruga Dini ya wakristo sana hata kama walishapotea kitambo nanyie mnawapoteza zaidi kwa elimu yenu ya kuungaunga.
 
Niongee machache kuhusu vitabu vya dini.

Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism)

Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu.

Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi.

Tanakh ni Biblia ya Kiyahudi iliyogawanyika katika vipengele vitatu (Torah, Nevi'im na Ketuvim)
Torah ni vile vitabu vitano vya Musa (Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Leviticus, Numbers na Deuteronomy) wenyewe wanaita 'Pentateuch'
Nevi'im ni maandiko ya manabii na Ketuvism ni maandiko ya Zaburi na mengineyo.

Quran Tukufu pia imerudia kwa kuhariri kidogo tu maandiko ya Torah, Nevi'im na Ketuvim pamoja na Evangél (Injili)

Ndio kusema vitabu vyote vitatu vya dini kubwa duniani vinafanana katika mengi na kutofautiana katika machache.

Biblia ya Wakristo imenukuu mengi kutoka kwenye Tanakh na kisha kuongezea maandishi mengine mengi ya Wakaldayo, Wakushi (kemet au Misri ya kale), Wamesopotamia, Wasumeri na Warumi.

Ndio kusema Biblia ndiyo Kitabu chenye siri nyingi zaidi hadi sasa pengine kuliko vitabu vingine vingi vya elimu ya siri (esoteric knowledge)

Lakini, hii Biblia ambayo kila mtu anayo imehaririwa zaidi ya mara 10, kuna vitu vimeongezwa na vingine kupunguzwa.
Ndio maana kwenye Theology kuna vitabu tunaambiwa ni THE LOST BOOKS (vitabu vilivyopotea) na THE STOLEN BOOKS (vitabu vilivyoibiwa)

Niliwahi kuhoji, kama kuna vitabu vinajulikana kwamba viliibiwa, NANI ALIVIIBA na kama kuna vitabu vilivyopotea NI NANI ALIVIPOTEZA?

Na ni vitabu gani?

Na kwa nini viibiwe na vipotee?

Sikupata majibu wakati huo kutoka kwa Waalimu wangu wa Theology.
Nilikuja kupata majibu sahihi wakati nikiwa kwenye safari hii ya utambuzi.

Lakini, ninachotaka kusema ni kwamba BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi sana vyenye elimu kale, elimu ya siri na iliyowasilishwa kwa lugha ya mafumbo.

Ni mpaka uwe umeangaziwa ufahamu wako (enlightened) ndipo utakapoweza kutambua mafumbo yaliyomo kwenye maandishi ya kwenye Biblia.

Idadi kubwa ya waalimu wa Biblia, wakiwemo wachungaji hawana uwezo wa kufumbua hayo mafumbo, wanasoma na kufundisha kama yalivyo na ndio maana wafuasi wao wanafanya tu kuyakariri na hawapati matokeo.
Ni waalimu wachache sana wa Biblia wenye ufahamu wa kuvunja hiyo mihuri (kufumbua hayo mafumbo) na hawawezi kuyaeleza hayo hadharani.

Kwa hiyo ni muhimu kuzingatia hilo.

Mimi nimesoma Biblia mara nyingi zaidi kuliko Kitabu kingine chochote na nimekuja kugundua Elimu zote za siri zimo ndani ya Biblia ila 'hazioenekani' kwa urahisi.

Nina Biblia tofauti tofauti 8 na zote zimeandika siri nyingi sana ambazo zipo pia kwenye masomo yote ya kiroho na kwenye jumuiya za siri.

Wale waliokwisha fika level 3 kule Illuminant na Freemasonry watakubaliana nami kwamba huwezi kupata 'badge' ya mwanajumuhia bila kufaulu kuvunja angalau ¼ ya codes zilizomo kwenye Biblia na Biblia ndio Kitabu Kikuu kwa wanafunzi wote chipukizi wa hizi Secret socities nyingi.

Biblia zipo makanisani, misikitini, mahekaluni hadi vilingeni.
Gland Lodges zote kuna Biblia za kila aina huko.

Kwa hiyo, msichukulie kawaida hiki Kitabu.

Nitarejea . . .
Hongera Kwa Bandko Hili....!
Unaweza kutushirikisha Siri 1 tu Toka kwa Biblia ..!?
 
inasemekana mtakatifu veronica alimpa yesu kitambaa chake ajifute jasho na damu wakati akipelekwa goligota, kwa muujiza sura ya yesu ikabaki kwenye kitambaa hicho. kitambaa hki kinaitwa the veil of veronica au sudarium kwa kilatini kama sijakosea.

embu nifumbulie hii code mwanatheolojia tafadhali.
 
Hizo ni stori za abunawasi hamna uthibitisho wowote, Watu wanajenga theories na imaginations za dini bila kuleta uthibitisho.
 
Uyahudi sio dini kubwa duniani, dini ya tatu kwa ukubwa baada Ukristo na Uislamu ni Ubudha na Uhindu.
 
andika yote ila tu usijekusema hizo code zilizofungwa unazo na uko tayari kutufungulia..
Zipo kwa wisemen illuminated people nyie wa level ya kwanza ya ufahamu inatakiwa muishie kwenye kuhudhuria tu ibada na kufukuza mapepo tu.
Hizi level zingine za ufahamu ya pili na ya tatu kwa wanaozama kwenye theory ndo wanazivunja vunja hizo codes
 
Niongee machache kuhusu vitabu vya dini.

Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism)

Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu.

Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi.

Tanakh ni Biblia ya Kiyahudi iliyogawanyika katika vipengele vitatu (Torah, Nevi'im na Ketuvim)
Torah ni vile vitabu vitano vya Musa (Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Leviticus, Numbers na Deuteronomy) wenyewe wanaita 'Pentateuch'
Nevi'im ni maandiko ya manabii na Ketuvism ni maandiko ya Zaburi na mengineyo.

Quran Tukufu pia imerudia kwa kuhariri kidogo tu maandiko ya Torah, Nevi'im na Ketuvim pamoja na Evangél (Injili)

Ndio kusema vitabu vyote vitatu vya dini kubwa duniani vinafanana katika mengi na kutofautiana katika machache.

Biblia ya Wakristo imenukuu mengi kutoka kwenye Tanakh na kisha kuongezea maandishi mengine mengi ya Wakaldayo, Wakushi (kemet au Misri ya kale), Wamesopotamia, Wasumeri na Warumi.

Ndio kusema Biblia ndiyo Kitabu chenye siri nyingi zaidi hadi sasa pengine kuliko vitabu vingine vingi vya elimu ya siri (esoteric knowledge)

Lakini, hii Biblia ambayo kila mtu anayo imehaririwa zaidi ya mara 10, kuna vitu vimeongezwa na vingine kupunguzwa.
Ndio maana kwenye Theology kuna vitabu tunaambiwa ni THE LOST BOOKS (vitabu vilivyopotea) na THE STOLEN BOOKS (vitabu vilivyoibiwa)

Niliwahi kuhoji, kama kuna vitabu vinajulikana kwamba viliibiwa, NANI ALIVIIBA na kama kuna vitabu vilivyopotea NI NANI ALIVIPOTEZA?

Na ni vitabu gani?

Na kwa nini viibiwe na vipotee?

Sikupata majibu wakati huo kutoka kwa Waalimu wangu wa Theology.
Nilikuja kupata majibu sahihi wakati nikiwa kwenye safari hii ya utambuzi.

Lakini, ninachotaka kusema ni kwamba BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi sana vyenye elimu kale, elimu ya siri na iliyowasilishwa kwa lugha ya mafumbo.

Ni mpaka uwe umeangaziwa ufahamu wako (enlightened) ndipo utakapoweza kutambua mafumbo yaliyomo kwenye maandishi ya kwenye Biblia.

Idadi kubwa ya waalimu wa Biblia, wakiwemo wachungaji hawana uwezo wa kufumbua hayo mafumbo, wanasoma na kufundisha kama yalivyo na ndio maana wafuasi wao wanafanya tu kuyakariri na hawapati matokeo.
Ni waalimu wachache sana wa Biblia wenye ufahamu wa kuvunja hiyo mihuri (kufumbua hayo mafumbo) na hawawezi kuyaeleza hayo hadharani.

Kwa hiyo ni muhimu kuzingatia hilo.

Mimi nimesoma Biblia mara nyingi zaidi kuliko Kitabu kingine chochote na nimekuja kugundua Elimu zote za siri zimo ndani ya Biblia ila 'hazioenekani' kwa urahisi.

Nina Biblia tofauti tofauti 8 na zote zimeandika siri nyingi sana ambazo zipo pia kwenye masomo yote ya kiroho na kwenye jumuiya za siri.

Wale waliokwisha fika level 3 kule Illuminant na Freemasonry watakubaliana nami kwamba huwezi kupata 'badge' ya mwanajumuhia bila kufaulu kuvunja angalau ¼ ya codes zilizomo kwenye Biblia na Biblia ndio Kitabu Kikuu kwa wanafunzi wote chipukizi wa hizi Secret socities nyingi.

Biblia zipo makanisani, misikitini, mahekaluni hadi vilingeni.
Gland Lodges zote kuna Biblia za kila aina huko.

Kwa hiyo, msichukulie kawaida hiki Kitabu.

Nitarejea . . .
Screenshot_20250329-112731.jpg
Screenshot_20250329-112252.jpg
 
Yesu alikuwa na mitume 12,alikufa saa 9 alasiri, siku ya 3 akafufuka,alisulubiwa na wezi wawili akawa wa 3,alihudumu kwa miaka 3,alikufa akiwa na miaka 33, alianza huduma akiwa na miaka 30.
Mara ya mwisho kuonekana akiwa na miaka 12 hekaluni then akapotea kwa miaka 18 upati habari zake kwenye Biblia hadi alipofika miaka 30.
So why namba 3 number 3 Ina codes gani why mipangilio yake ni tatu tatu ukizijumlisha hizo number.
 
Back
Top Bottom