Elections 2010 Wengi hawajui Nguvu ya Maaskofu

Status
Not open for further replies.
Hata hivyo inabidi hawa viongozi wa dini nyingine nao wasiwe wazito kujifunza vitu rahisi. Haiwezekani wakawa hawana idea ya ku-initiate kitu hadi wenzao waanzishe. Ukitoka waraka, nao wanataka wao...... sasa Arusha, hadi maaskofu waongee. Watanzania tusikimbie shule, inasaidia sana.
 
Wanasiasa waangalie tu kwa kuwahurumia!

1. Wengi wao wamesomea kwenye shule za kanisa akiwepo MAKAMBA.
2. Wakipata shida wanakimbilia wa viongozi wa dini. Hata akiapishwa Rais, wanawaita viongozi wa dini.
3. wamesahau kuwa Mungu, ambaye maaskofu wanamtumikia, ndiye anawapa madaraka wanayodhani ni ya kwao.
4. na wanasahau kuwa Mungu ndiye pekee anaweza kuwapa uhai na amani. sio siasa zao za maji taka.
5. Mungu ndiye kiongozi mkuu.

Kama HAKIELIMU wasemavyo,
Watafakari, wachukue hatua ya kujirekebisha.
 
wewe nawe hebu toka kwenye giza! sio wote wanaoamini ukristo, na hicho ndicho msichotaka kukikubali!
 
Hata hivyo inabidi hawa viongozi wa dini nyingine nao wasiwe wazito kujifunza vitu rahisi. Haiwezekani wakawa hawana idea ya ku-initiate kitu hadi wenzao waanzishe. Ukitoka waraka, nao wanataka wao...... sasa Arusha, hadi maaskofu waongee. Watanzania tusikimbie shule, inasaidia sana.

wapemba 27 walivyouwa mwaka 2001 na mzee mkapa hawa maaskofu walikuwa hawajazaliwa au walikuwa bado hawajahitimu mafunzo ya uaskofu? maana hawakutoa kauli yoyote!
 
Nguvu za kanis zinajulikana, tuliona yaliyotokea Rwanda kwa chokochoko zao.
 
Nguvu za kanis zinajulikana, tuliona yaliyotokea Rwanda kwa chokochoko zao.

Hongera kwa kuziona. Sina uhakika kama na hizi za hawa nazo umeziona. Au ndo mambo ya nyani....

ee.jpg
 
Nasupport sn mada hii na mleta mada amebobea kwenye mahusiano ya jamii.
Napenda nikazie kwenye huduma za jamii upande wa afya.
Hospitali kubwa na tegemewa za KANISA Mkoani Arusha ni:
1.Saint Elizabeth(father Babu)
2.Lutheran Medical Centre
3.Selian Ngaramtoni nk.
Huyu mama kwa kukosa ubongo kwake anadhan kanisa liko myopic na kuishia kuhubiri altareni.
Nadhani ana malezi mabaya.
 
Mkuu sio hizo tu, ila ziko hospitali nyingi ambazo zinapata support kutoka n je kwa kupitia mgongo wa kanisa.

Kwa mfano hospital iliyoko Tengeru nimepata taarifa wanapata support fulani kutoka Westminster (makao makuu ya Anglikan kama sikosei) kwa mgongo wa Parish kadhaa zilizoko maeneo hayo.

Iko hivyo pia kwa baadhi ya mashule ambao wamekuwa wakipokea technical na fincanial assistance/support kupitia mgongo wa kanisa
 
Umuhimu wa kanisa HAUELEZEKI, kwa mfan ,nyingi ya hospitali na vyuo vikuu vinamilikiwa na kanisa, Huyu mama nina wasiwasi na hata na ndoa yake pamoja na malezi yake hayako sawasaw.Mtu mwenye akili sawasawa uwezi kuzungumza ,maneno ya hovyo na ya KIJINGA kama yale.
 
Viongozi wa dini ni sehemu muhimu katika jamii yoyote. Faida zao zinajulikana lakini pia tuangalie upande mwingine wa shilingi. Leo hii Kanisa linasema halimtambui Raisi wa Tanzania, moja kwa moja litakua limeleta mgawanyiko wa kidini na sio waki maadili.

Mtoa mada, unasema kwa sababu Makanisa yanatoa misaada kwa hiyo wanahaki zaidi katika maamuzii ya siasa nchini. Hapo ndio unapokosea kwa sababu hayo ndio mambo yatayo ukuza udini Tanzania.

Viongozi wa dini wasipokua waangalifu basi wanaweza kubomoa badala ya kujenga. Lazima tuangalie nje ya imani zetu za dini na kuweka utaifa mbele. Dini hizi hizi zinaweza kutumika vibaya na kuleta machafuko makubwa nchini, mifano ni mingi, sina haja ya kuelezea.
 
Nguvu za kanis zinajulikana, tuliona yaliyotokea Rwanda kwa chokochoko zao.

Acha kuchanganya, maaskofu wanatumia nguvu za Mungu siyo Kanisa! Unaionaje Rwanda inavyokwenda kasi kwa maendeleo? Hatuta wapata kamwe kama tukiendelea kuwa na viongozi wanao tumia nguvu za majini ya Shehe Yahaya!
 
Sijui Chatanda au Chitanda mwenyewe kapitia mlango wa huruma. Hajachaguliwa na wengi ka wengine. Kubishana na vidole juu ni kujidhalilisha.
Mi namshauri akajisafi kwanza ndo aje barazani tutete naye.
Upofu unaokikumba CCM utawatokea puani. Ni huyu huyu alowasababishia hadi Batilda akakosa huko AR. Akaenda huko kapewa huruma ya kuteuliwa, kaja na ushuzi wake kavuruga uchaguzi, wao wanamwangalia tu. ISIJE KUWA HUYU NDIYE YULE MWANAFUNZI WA ENZI ZILE MWL MAKAMBA AKIWA KAZINI! Ana kiburi sana na hakuna wa kumkemea! Hata secretary wako ukimlalia juu jeuri yako kwisha!
Poleni CCM kwa mzigo wa vilaza!
 
Acha kuchanganya, maaskofu wanatumia nguvu za Mungu siyo Kanisa! Unaionaje Rwanda inavyokwenda kasi kwa maendeleo? Hatuta wapata kamwe kama tukiendelea kuwa na viongozi wanao tumia nguvu za majini ya Shehe Yahaya!

Kwa hiyo ni maaskofu ndio wanayoiendesha kasi? Na yale mauaji ya halaiki nani aliyachochea? au unajifanya hujui?
 
Viongozi wa dini ni sehemu muhimu katika jamii yoyote. Faida zao zinajulikana lakini pia tuangalie upande mwingine wa shilingi. Leo hii Kanisa linasema halimtambui Raisi wa Tanzania, moja kwa moja litakua limeleta mgawanyiko wa kidini na sio waki maadili.

Mtoa mada, unasema kwa sababu Makanisa yanatoa misaada kwa hiyo wanahaki zaidi katika maamuzii ya siasa nchini. Hapo ndio unapokosea kwa sababu hayo ndio mambo yatayo ukuza udini Tanzania.

Viongozi wa dini wasipokua waangalifu basi wanaweza kubomoa badala ya kujenga. Lazima tuangalie nje ya imani zetu za dini na kuweka utaifa mbele. Dini hizi hizi zinaweza kutumika vibaya na kuleta machafuko makubwa nchini, mifano ni mingi, sina haja ya kuelezea.

Wana haki ya kutoa mawazo yao kama ambavyo nao waislamu wametoa tamko lao. Viongozi wa dini ni raia wa nchi hii. Viongozi hawa wanaongoza taasisi nyeti kama ilivyo jamii ya kiislamu, kihindu nk. Wakiwa na haki ya kikatiba wanao uhuru wa kuchangia mawazo kwa ajili ya kutetea maslahi ya Taifa hili. Ikumbukwe kuwa ni maaskofu na wachungaji Serikali iliyoko madarakani iliwatumia wakati wa uchaguzi wa 31 oct kuwasihi waumini wao warudi majumbani mwao baada ya kupiga kura. Amini kuwa wangeambiwa wasiende kupiga kura wasingeenda na kama wangeenda wangekuwa watu wachache sana.

Kimsingi naungana na uma huu kuwataka CCM wawatake radhi viongozi hawa wa dini. Kauliza makatibu wao ni kielelezo tosha kuwa chama chao kinaongozwa na watu wenye upeo mdogo wa kuongoza. Sio wakati wa kuonyesha KIBURI hata kama uliwahi kumfadhili nini na nani kwa dunia ya sasa. Hata kama hongo KUU ilitolewa ilikuwa kwa starehe tu sio kwa mstakabali wa taifa letu. BADILIKA SASA.
 
Kwa hiyo ni maaskofu ndio wanayoiendesha kasi? Na yale mauaji ya halaiki nani aliyachochea? au unajifanya hujui?

Mauwaji ya kimbali ya Rwanda yalikuwa ni ya kikabila siyo ya kidini! Acha uzoba wako, maaskofu wa Rwanda walikuwa wanampinga nani serikalini, je waliokuwa madarakani walikuwa mashehe au maimamu? Angalia percentage ya wenye imani kama yako ya Rwanda na wumini wa madhehebu mengine na dini za asili atapata jibu!

Nimekustukia, kubishana na wewe unaestruggle kwenda akhera ni kupoteza muda maana unafikiri kinyume nyume kama maandishi ya kiarabu!
 
Ikumbukwe kuwa ni maaskofu na wachungaji Serikali iliyoko madarakani iliwatumia wakati wa uchaguzi wa 31 oct kuwasihi waumini wao warudi majumbani mwao baada ya kupiga kura. Amini kuwa wangeambiwa wasiende kupiga kura wasingeenda na kama wangeenda wangekuwa watu wachache sana.

Hapo walitumia hekima, lakini la kusema hawamtambui Meya hawajatumia hekima, kwani tayari limeshawagawa wa Tanzania...
 
Mauwaji ya kimbali ya Rwanda yalikuwa ni ya kikabila siyo ya kidini! Acha uzoba wako, maaskofu wa Rwanda walikuwa wanampinga nani serikalini, je waliokuwa madarakani walikuwa mashehe au maimamu? Angalia percentage ya wenye imani kama yako ya Rwanda na wumini wa madhehebu mengine na dini za asili atapata jibu!

Nimekustukia, kubishana na wewe unaestruggle kwenda akhera ni kupoteza muda maana unafikiri kinyume nyume kama maandishi ya kiarabu!

Ukiwacha ushabiki wa dini utaweza kuona mbali. Hao viongozi wa dini ni binadamu sio malaika na mara nyingine ufanya makosa.

Do I little bit of research great thinker to understand the role of church in Rwanda before denying what is obvious
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom