Wenger MUST GO!

Arsenal itaendelea kuwa Arsenal yenye mpira wa Kuvutia Ulaya nzima. Hata Hleb wakati anatua Barca alisema yeye anaamini kuwa Final ya Ulaya itakuwa kati ya Arsenal na Barca. Ila Wenger naye apunguze kuwategemea Wafaransa zaidi kwani France imeshuka katika Soccer.
 
Arsenal itaendelea kuwa Arsenal yenye mpira wa Kuvutia Ulaya nzima. Hata Hleb wakati anatua Barca alisema yeye anaamini kuwa Final ya Ulaya itakuwa kati ya Arsenal na Barca. Ila Wenger naye apunguze kuwategemea Wafaransa zaidi kwani France imeshuka katika Soccer.

mkuu cha muhimu si mpira wa kuvutia
cha msingi ni mafanikio.
unaweza kuwa na jike zuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri ila tasa sasa faida iko wapi?
 
jamani ndugu zangu wa arsenal babu yenu wenger kasema anataka kusajili kiungo mpya kabla ya msimu huu wa ligi kuanza.
sasa je hizo ni habari njema au?
 
Off couse mnahitaji kusajili kiungo mwenye uzoefu kuondoka kwa FLAMIN,HELB,GILBETO ni pengo kubwa halafu unasajili watoto kama NASRI,RAMSEY kazi mnayo
Naona kabaki Fabregas peke yake akiumia wataweza kuziba pengo hao watoto wa chekechea?
 
Arsenal were held to a 1-1 draw at Szombathelyi Haladas on Tuesday night in the first game of their Austrian Training Camp.

Arsène Wenger's side started in lively fashion against last season's Hungarian Division Two champions but were shocked in the 24th minute when Krisztian Kenesei's shot was adjudged to have crossed the line before Gavin Hoyte cleared.

However they got on level terms three minutes before half time when Theo Walcott's low drive across the face of goal found the far corner.

A swathe of substitutions on both sides rather ruined the spectacle in the second half and, if anything, the hosts had the better chances to force a win.

Still, this was another useful run-out. While the name Szombathelyi Haladas means literally "Progress of Szombathely" it appears the progress of Arsenal will take a little more time.

And there is still plenty of that before the season starts.

Twenty years ago, the 45-minute trip from Arsenal's Austrian Training Camp to the border town of Szombathely would have involved crossing the Iron Curtain. But, judging by the number of Arsenal shirts worn by local fans this evening, the richest Football League in the world was now a massive draw in this part of Hungary.

A couple of rock singers belted out some songs on the pitch as the players warmed up. A 13,000-strong crowd seemed largely unimpressed with the music but were delighted to see the visiting side; cheering each player on to practice.

Wenger's 17-man squad was largely the same as the one that started against Barnet on Saturday. The notable change was the introduction of Carlos Vela for his Arsenal debut. He joined Nicklas Bendtner up front so Walcott dropped into midfield. Gavin Hoyte was paired with his brother at centre back and Jack Wilshire, 16, had another chance to impress. This time he started on the left wing.

Arsenal began the game as the better side. In the seventh minute, Nicklas Bendtner clipped over a cross from the left, Vela chested the ball down then flicked it back into the path of the onrushing Denilson, who thundered a drive against the underside of the bar.

In the 10th minute, Walcott poked the ball past his marker but his shot was woefully weak. After that Aaron Ramsey had a drive deflected wide and Bacary Sagna's curling cross from the right just evaded the head of Bendtner.

It was all Arsenal. To this point, Szombathelyi had only mustered the weakest of drives from Kensesei.

But, in the 24th minute, the home side took the lead. Peter Voros angled in a ball from the right, Kensesei chested the ball down on the edge of the area then clipped a shot over the advancing Almunia and towards goal. Gavin Hoyte chased back and hooked the ball off the line but the referee deemed it had already crossed the line.

Big brother Justin had the perfect opportunity to equalise a couple minutes later but hoiked an effort high over the bar from six yards out after Wilshire's low corner had scuttled through the area.

Just past the half hour, Clichy raced into the area and fired into the sidenetting.

Arsenal were turning the screw now. Keeper Daniel Rozsa dropped a corner from Denilson but Vela could not turn it home from close range.

At the other end, Marton Oross narrowly turned home a low cross from Peter Toth and, seconds later, Andras Kaj tested Almunia from distance.

Szombathelyi went onto have their best period of pressure in the half. So it was a moderate surprise when, three minutes from the break, Bendtner expertly chested down a long pass from the left and instantly found Walcott who steered in a low cross-shot off the base of the post.

Wenger made four changes for the second half. One of them, Henri Lansbury, forced a flying save from Rozsa eight minutes in.

The tactical alterations meant that the first-choice full backs - Sagna and Clichy - were now the centre back combination. Meanwhile Walcott had joined Bendtner up front. Unlike on Saturday at Barnet, the changes hampered the game. Lansbury's effort apart, the second period had been sterile.

In fairness it livened up towards the end. Ten minutes from time, Clichy fired a free-kick wide after Jay Simpson had been fouled just outside the area. Then Attila Simon escaped on the left and Sagna did well to divert his low cross from a corner with an unmarked attacker waiting in the area.

With two minutes left Simpson might have grabbed a winner from Francis Coquelin's cut back.

But a draw was probably fair in the end.

.......................................................................................................................

haya wakuu wahenga wanasema mwanzo wa kumi moja....
 
Real Madrid hope to sign Arsenal's Cesc Fabregas after conceding defeat in their pursuit of Cristiano Ronaldo. (News of the World)

haya wakuu arsenal ndo inakufa tena.
 
Real Madrid hope to sign Arsenal's Cesc Fabregas after conceding defeat in their pursuit of Cristiano Ronaldo. (News of the World)

haya wakuu arsenal ndo inakufa tena.

Arsena haiwezi kufa! Maana bila hiyo mpira wa Uingereza haunogi.
 
...dah, pamoja na kwamba dirisha la usajili limebakiza siku 30 na masaa kadhaa kufungwa, lakini sioni dalili ya Arsenal kuimarisha kikosi na Experienced players
Kulikoni? ama mzee Wenger anasubiri lastminute.com?

Kwa mtazamo wangu huenda tukaishia wasindikizaji kwa mara nyingine, halafu wimbi jingine la wachezaji kuondoka!

Hii Over 30yrs policy mnh...! haifai!!!!!!!!!!
 
...dah, pamoja na kwamba dirisha la usajili limebakiza siku 30 na masaa kadhaa kufungwa, lakini sioni dalili ya Arsenal kuimarisha kikosi na Experienced players
Kulikoni? ama mzee Wenger anasubiri lastminute.com?

Kwa mtazamo wangu huenda tukaishia wasindikizaji kwa mara nyingine, halafu wimbi jingine la wachezaji kuondoka!

Hii Over 30yrs policy mnh...! haifai!!!!!!!!!!

katika vitu ninavyovipinga kwa huyu mzee ni hiyo over 30...
yaani sijui huo msimu ujao utakuwaje.
anavyoshinda 10 basi anaona anakikosi cha ukweli ile mbaya.
sasa ngoja penye ukweli pafike
 
jama manunuzi ya sylivester mmeyakubali?
hivi kwa nini huyu mzee anatuona sisi kama washabiki wa lipuli?
 
jama manunuzi ya sylivester mmeyakubali?
hivi kwa nini huyu mzee anatuona sisi kama washabiki wa lipuli?

Ndio ukweli wenyewe huo kwani wewe ulitaka akuone kama nani? shabiki atabaki kuwa shabiki tu. Kama timu zingekuwa zinaendeshwa kwa kelele za mashabiki mboka ingekuwa kazi!!!!!!
 
na bado bado ana imani zake zile zile kuwa iko siku arsenal itakuwa imara na itachukua vikombe
 
Kuondoka kwa Wenger sio rahisi kama unavyofikiria, ushabiki usitangulie ukweli. Ni timu gani Premier League inacheza soka safi kama Arsenal? Wachezaji waliotajwa kuwa kawaacha kwa viwango vyao hawana nafasi tena ya kucheza kulingana na speed ya sasa. Tukubali na tusubiri kidogo na Wenger himself is going to prove you wrong!!!!

Keep it up Wenger.
 
ni kweli kocha Wenger ameishiwa sera na mbinu za kimichezo na sasa anabahatisha tu ili mradi dakika 90 ziishe.
juzi kwenye mechi ya champions league dhidi ya Fenebarce japokuwa arsenal walishinda niligundua kitu ambacho kwa namna moja ama nyingine kilinipa ushawishi mkubwa kuwa huyu mzee amefikia kikomo.

ni katika sakata la namba 4 na 5 ambapo kwa sasa arsenal wanawakosa wachezaji wao wawili wenye majeruhi yaani william gallas na habib kolo toure. mimi nadhani huu ndio ulikuwa muda muafaka kwa beki wa kati mswiss johan djourou kuitumikia timu.
nilikuwa nahisi kabisa kuwa djourou sasa ndio wakati wake wa kucheza na kuisaidia timu, lakini mzee huyu amekwenda kukurupuka na kumpanga mchezaji ambaye uhalisia wake ni namba 3 na mwingine ambaye uhalisia wake ni kiungo na kwenda kumuacha djourou ambaye uhalisia wake halisi ni namba 4 na 5 na ni mzoefu katika timu na mkongwe katika timu zaidi ya hao waliopangwa.

wadadisi wa maswala ya soka walihisi msimu huu ndio utakuwa msimu muafaka kwa djourou kucheza kwani hata hao mabeki wa kati wa kutumainiwa wa arsenal Gallas na Toure hawako fit 100% hivyo walistahili kupumzishwa na Djourou kushika jaramba.

NAUNGA MKONO HOJA WENGER MUST GO...
 
mechi na totenham kafanya SUB za kipumbavu ile mbaya, yaani ni wazi huyu mzee kaishiwa jamani hana jipya..............
 
Back
Top Bottom