Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
- Thread starter
- #21
Ndio ni timu kubwa but wachezaji hao waliopo mbona wengi hawastahili.SENDEROUS,EBOUE,BERTNDER,GALLAS,DENILSON,DIABY hawafai kucheza ARSENAL
Wanaostahili ni CLICHY,SAGNA,TOURE,CESC,ROSISKY,RVP,HELB& WALCOTT
Mchezaji hata kama ana miaka 40 but kama anafunga magoli/anacheza vizuri kwa nini asinunuliwa
Angalia INZAGHI,TONI,ZIDANE,MAKELELE,LARSON mbona wamecheza hadi uzeeni
Wenye uzoefu wapo but WENGER NI BAHILI HAWEZI KUWANUNUA
Belo kwanza heshima yako mkuu!
pili mi ningeomba usimuhukumu Eboue na kumuweka kwenye kundi la machafuchafu. kumbuka eboue unayemdharau wewe alikuwa ni beki na ni nguzo imara ya gunners, but amekuja kuchuja ghafla baada ya kupandishwa juu yaani winga. kumbuka eboue yule aliyesimama imara 2006 na kuhakikisha Gaucho hapigi lelastika, el baretti wala lespardinha. alimkaba vizuri na pia aliweza kumkaba x-tia ronaldo katika kila mechi. so please naomba usimuhukumu kwa uzembe na imani mbovu za wenger za kumchezesha winga.
kuhusu denilson mi nimemuona yule dogo akiwa anaunguruma mechi mbalimbali za arsenal na timu yake ya taifa, dogo anajua mpiira belo kataa kubali dogo ni soo, hivyo kinachotakiwa ni wenger ampe majukumu kama aliyompa mfaransa mwenzie flamini kisha utaona atakavyomsuta....ni hayo tu kwa sasa