Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,024
- 72,343
Hiyo elimu mnayoizungumzia n elimu gani kwanza? Hana diploma wala degree yeyote, utamuitaje msomi? Au kiingereza chake kinawapaza
An degree ya vigodoro kwani hujui
Hiyo elimu mnayoizungumzia n elimu gani kwanza? Hana diploma wala degree yeyote, utamuitaje msomi? Au kiingereza chake kinawapaza
Tunalilia bahati uzuri hata Tausi anao weweee,tuache kumuonea wivu K lyn anakula bata na Mengi pesa ipo ya kutosha sio ya mawazo tumuonee Wema kwa lipiii haswaa nyie wabeba pochi wake ndio mwamuonea wivu
Wenye maumbo yao kina Masogange ban,wema miguu kama ya bwanaake ndomo atupisheee
Na shangaaaa!
Mama ubaya nasikia