Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
[h=3]WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI[/h]
Wema Sepetu (katikati) akizungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari maelezo jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson Makubi.

Wema Sepetu Mbele ya kamera akiomba radhi na kusema watanzania “ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana” na tunatumia fursa hii kuomba Msamaha.

Moja ya picha ya Msanii Aunty Ezekiel iliyosamba kwenye mitandao ya Kijamii hivi karibuni wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.

CHANZO:
TANZANIA ONE: WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI

sasa na ayo maji angwtueleza yanatokana na nini tuelewe nasi,,mbutah
 
Sina hata la kusema!
Hawa ma stars wa Bongo hawana ma managers au washauri?
Au washauri wao ni waganga wa kienyeji??
 
Sina hata la kusema!
Hawa ma stars wa Bongo hawana ma managers au washauri?
Au washauri wao ni waganga wa kienyeji??

mutu inaomba radhi kwa kuwa mujinga, nawesa samehe yeye?
kwa kuwa yeye iko mujinga, wajinga wensake itahangaika na yeye.
 
Sa mnataka wafanyaje jamani?
Mimi naona ni jambo la kiungwana kuitaka radhi jamii ya kitanzania kwa hayo yaliyofanyika, tena ambayo mliyalalamikia kwa nguvu zote.
Kuna watu wanapenda wenzao waonekane kituko siku zote, sijui ili iweje...
Maanina!
 
Mbona hii kitu imekaa kisanii sana, watanzania wanataka hawa wasanii wafanye haya:

1/Waende kwanza kuomba radhi kule mikoani walikofanyia upumbavu wao
kabla ya kuja ukumbi wa habari maelezo na mitandaoni.

2/Washtakiwe kisheria

3/Wafungiwe kufanya kazi yoyote ya sanaa ya maonyesho.

4/Wapimwe akili

5/Walipe fidia kwa kumdharirisha mwanamke na sanaa ya maonyesho.

6/Wajirekebishe
 
Watanzania wepi hao uliozungumza nao wakakuagiza uwe mwakilishi wao? Mi naona so far so good, mara ngapi wanasiasa wanaporomosha mitusi na husikii lolote la aina hii toka kwao.
Tuache ubishi usio na mpango, tuwasapoti wasanii wetu kwa hatua yao ya kiungwana.
 
Tatzo kwamba hawa hata wakiomba msamaha me naona unafk mtupu coz hawataacha kuvaa nguo za uchi na fupi kwn pale mfano wangevaa nguo za heshima tungeonaje vitumbua vyao, wahajijua wao ni nani wanatakiwa wafanye nn na kwa wakati gan hawajithamin wenyewe shenz taip wanajiona wao wazur kuliko wanawake wote dunian

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wanakosea sana wanapoomba radhi kwa picha za uchi walizopigwa,
Wanapaswa kuomba radhi kwa kuvaa nguo zisizokua na maadili mbele ya watanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naona heri hao waliokaa uchi ni ujinga wao,
je ray aliyesimama kwenye jukwaa akatukana 'mmeanza kunichimba eeh, pumba vu zeu'
tena akarudia na kurudia tena, walikuwa kitu kama singida (samahani kama nimekosea mkoa)
ray alivaa t-shirt njano na raba njano.

Kwanini naye asiombe msamaha?
 
Sasa huyu kama ndio mume unategemea mke aweje? haki ya Mungu nikisiki Dada yangu anataka kuolewa na mtu wa Bongo Movie au Bongo Fleva kwakweli na undugu umekufa. ni fedhea tupu kwa familia.

dddd.jpg
 
Sasa huyu kama ndio mume unategemea mke aweje? haki ya Mungu nikisiki Dada yangu anataka kuolewa na mtu wa Bongo Movie au Bongo Fleva kwakweli na undugu umekufa. ni fedhea tupu kwa familia.

dddd.jpg

Tehe! Tehe! Tehe! Eti kuna wajinga wanamuita mfalme wa Bongofleva,labda wangemuita mfalme wa kugonoka
 
Back
Top Bottom