Wema Sepetu na Ant Ezekiel waomba Msamaha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema Sepetu na Ant Ezekiel waomba Msamaha.

Discussion in 'Entertainment' started by Kennedy, Oct 15, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,370
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Mastaa taja hapo juu leo wameomba msamaha kwa tendo lao lililoichefua jamii kwa picha zisizositiri miili yao, Akiongea Wema anasema steji ya fiesta iko juu na waandishi wa habari hukaa chini wanapopiga picha huonekana wako uchi. Ingawa suala lao halihitaji maelezo mengi maana washwahili wanasema PICHA INAOGEA KULIKO MANENO. Nadhani wamekaa na kupitia picha na kuona ukweli wamejitia aibu na kufedhehesha jamii. Wajitahidi wasirudie yaliyotokea maana ni aibu sana. CHANZO TBC TAIFA!
   
 2. K

  Kumbozi Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumesha wazoea ndivyo mlivyo mkipotea machoni pawatu huwa mnataka kurudi kwakasi ila kwahili mmeharibu
   
 3. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumewasamehe na wasirudie tena
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  haya tumewasamehe
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Ina maana hapo jukwaani wasichana walikuwa wao tu??au ndio ukiwa jukwaani hutakiwa kuvaa kinasa kabisa?maana inaonekana kama hawajavaa kitu,au ndio nguo zao za siku hizi zinaingia katikati ya makalio?kazi ipo dunia hii ya utandawazi inatukimbiza sana
   
 6. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  achana na Ma****ya hao! wanaendeleza biashara yao!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  hii nayo ni news?
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,246
  Trophy Points: 280
  Huwa wanatumuwa kwenye fiesta.
  Labda hawajalipwa.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  ndio, wee huoni walitupofua macho.

   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  unafikiri hawatarudia tena?
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  Wakirudia tena dawa yao iko jikoni

   
 12. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  please kwa jibu hili natamani sana Kaunga na MwanajamiiOne walione. ila kaka boss kwanini umesema hivi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  teh teh teh...how was insanity being said by Albert Einsten....Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.
  Albert Einstein

  Probably now its time to look into ourselves. Labda hatujitambui au hatutambui tunalofanya ndio maana kila kitu ni news.
   
 14. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na yule aliyevua nguo hadharani naye atasemaje, kwanza nimekumbuka kuna mmoja wao alikuwa amejikojolea kabisaaaaa, akasema eti alikalia maji hovyoooooo! ...Je mnahitaji msamaha wakati steji iko juu na wapiga picha wako chini, nadhani waandaji ndio wenye wajibu wa kuomba msamaha eti?
   
 15. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hebu wekeni picha au link tujionee huo utupu wao
   
 16. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Wasirudie kwani wana nguo za staha zaidi ya zile wanazovaaga?...
   
 17. G

  Gomesa Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao ndio wakina Sepetu. Gomesa
   
Loading...