Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Asalam aleikum.
Najua kichwa cha habari kimewashtua watu wengi sana wale wanaopenda mafanikio ya wasanii wetu na wale wasiopenda maendeleo(wale wapenda bifu).
Hivi majuzi baada ya Diamond kuukata mzizi wa fitna na kuonesha moyo wa kiuungwana kwa kumpost x wake na kuwafanya watu kufahamu kuwa bifu ni nzuri kwa sambusa tuu na sio kuifanya kama maisha yako.
Mwanadada sepenga nae akajibu kwa kusema kuwa amefurah kuona kuwa Sasa wanasapotiana kwa maana yeye binafsi anampenda sana diamond kama msanii na alikuwa akiishi maisha ya kuigiza na kujidai kuwa hampendi mondi lakin kiuhalisia anamkubali sana bwana matuzo na watu waligeuza bifu hilo kuwa mtaji wa kuongeza followers kule instagram.
So kwa msimamo huu walioonesha napenda kubashiri kwamba yawezekana kabisa "WEMA SEPETU KUHUDHURIA BIRTHDAY YA TIFFA WA DIAMOND" Kama akialikwa
Haya sasa usisahau kunifolo kule insta @mckonje au nipate kwa #mckonjetv