Happy birthday retrospectively Wema Sepetu

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Jana nilikuwa buzy kinyama kumfanyia Mama yangu Birthday
Yes nimesharudi Tz
So nikatonywa kwa Sepenga nae Anabirthday siku ya jana
Wow WEMA na My Mom wanashare same Birthday
Happy Belated Birthday Mdogowangu WEMA Sepetu...

Kama mama yangu ameishi miaka 70 ta fur aha ya Maisha yote akaona miaka vilembwe wote... Nakuombea na wewe uishi miaka zaidi ya 70 ukiwa kwenye ndoa ..ufurahie Maisha yote uwe na Utajiri wako mwenyewe..na zaidi na zaidi.. Nakupenda Mdogowangu Regardless of what watz wanakusema na Regardless Maisha Uliopitia
Ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareth ninakuombea Amen 🙏
 
Mamako anametimiza miaka 70 unauhakika gani? Au mmeamua kukisia.
Ulimzaa mama yangu au?!
Mbona unaleta habari za kujifanya unamjua sana mama yangu?!
Huyu wa wapi?!
Roho Inakuuma ee ametimiza miaka 71?!
 
Yani wema asije kufa kabla me sija piga nae picha ooooooh. Mara n ndoto kesho kutimia hahahaha
Nataka kula nae dinner uuuuh I love her perfect pitch. Mwaaaaa mwaaaaa.
No matter pple judge her negative but still in ma heart. (In my girlfriend voice)
 
Pole sana, Mi nilipiga nae mwaka 2015
 
hivi money penny ni mtanzania kweli
maana hata huyo mdogo wako kwenye mamuvi yake huwa anaongea kama unavyoandikaga thread zako.
Hili swali sijui bkzo ur being an ignorant
hapana mimi ni Mmarekani Mweusi kama Janeth Jackson
Habari za CHIU YANGU utazipata kwa mume
vp kwan umenuna mimi kuongea sana? - PASUKA Oooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom