Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Naona amekamata stearing ya FARMTRAC atazani ni ya VITZ!
Kitu hiyo kuendesha mpaka uwe umekula nguga ya ukweli...
Kitu hiyo kuendesha mpaka uwe umekula nguga ya ukweli...
haya masanii mengi ya bongo nimagamba na ndiomaana usanii wao umekua wakubahatisha.kuna limoja liliwah kugombania udiwani likapigwa chini nimabinafs kweli haya majinga
wasanii wote wamevutika chamani, nadhani ni mpango mkakati towards 2015
kusuuza rungu ndio nini tena!!! wengine watiti hapa
mwanangu Ronn M, wala usishangae sana, ukiona mtu hana nidhamu hata ya mavazi ambayo yanatambulisha utu wake basi ujue mtu huyo kakosa maadili na hakuna jina jepesi la kumwita.
binafsi kama ni mm naenda sehem kama hiyo kitenge kirefu hadi chini tana kisichokuwa na mpasuo kingehusika hapo. tight kama hiyo naweza ivaa nikienda shopping ama nikienda kukutana na friends just for drinks baasi.
Njaa mbaya sana!View attachment 78944
Wema akimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.
sijaelewa sana hii.......................................
Chama kimepata kada sasa,hongera wema