Wema Sepetu Gambani

Wema Sepetu Gambani

he he he; sometimes I real, real love Wema.

Anatumia vizuri alichopewa na mama yake!
 
Kwa chuki na visirani vilivyopo,asishangae akipoteza washabiki wa kazi zake kwa sababu ya Kuwa mwanachama wa mafisadi.
 
ndio wakati wake huo kuvaliwa kwa siku hizi zamani ni night dress siku hizi ni day dress
Mkuu siku hizi ni tofauti,night dress,inavaliwa mchana kweupe,tena mtu anakatizanayo mitaani!
 
huyo anaganga njaa.mwacheni kesho mtamkuta na gwanda na baadae kidogo mtamkuta na kikoi cha cuf
 
39-427x600.jpg
haya mpambe wa CCM huyu
 
ndio wakati wake huo kuvaliwa kwa siku hizi zamani ni night dress siku hizi ni day dress
Teh teh teh!mambo ya kinyumenyume!ndiyo maana watu wameamua kutumia mtandao wa 0713!
 
Kweli magamba watapatapa, kufa maji!! Maandalizi ya mwaka 2015!!! Wasanii kama mlivyo wasanii!!! Chama cha Wasanii=Chama cha Magamba!! Kazi ipo!!
 
View attachment 78945
Panzi! Panzi! Panzi!, Wema Sepetu (shati ya kijani) akifunika uso wake kwa kipochi chake, huku akipiga kelele na kujiingiza katika kundi la wazee, kwa sababu ya kuogopa panzi aliyemdandia wakati wa shughuli za uzinduzi huo shambani

Duuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! ama kweli kazidi udebwedo anaogopa hata panzi?
 
View attachment 78945
Panzi! Panzi! Panzi!, Wema Sepetu (shati ya kijani) akifunika uso wake kwa kipochi chake, huku akipiga kelele na kujiingiza katika kundi la wazee, kwa sababu ya kuogopa panzi aliyemdandia wakati wa shughuli za uzinduzi huo shambani

Anatafuta Bwana huyo,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Mama ndikumana naye hakuwa nyuma. msanii anapoamua kuwa body guard wa msanii mwenzake mhiiiiii
 
Attachments

  • I.jpg
    I.jpg
    15.6 KB · Views: 76
  • L.jpg
    L.jpg
    32 KB · Views: 77
Back
Top Bottom