Wema Sepetu ana nguvu kuliko Lowassa?

Hiyo picha nina mashaka nayo ni photoshoped hao bodaboda hata mmoja hana hata jezi ya chama... hata bendera! Mmh!
 
Atajipeleka mwenyewe................kama Lowasa!!!

Lazima UKAWA watamchukua ana mtaji mkubwa wa watu.

ha ha ha kwa hiyo unataka UKAWA tumchukue?

Watamuomba aungane aongeze idadi ya bodaboda

Nakubaliana na wewe ana nguvu za kukata kiuno kitandani lakini si za kisiasa.

Unamzungumzia wema huyuhyu Mwendawazimu? Mtembea uchi,mualibifu wa jamii
Dah, watu mnaona mbali aisee. [HASHTAG]#madame[/HASHTAG] for presidency 2020
 
Back
Top Bottom