Well done wakili mbobevu Nassoro Katuga

Well done wakili mbobevu Nassoro Katuga

Unashangili bao halijaingi refa kaita kati ww unamsifu mchezaji katuga baada ya kumshukuru refa wetu Ndunguru
wakili Nassoro Katuga anafanya kazi nzuri sana katika tasnia ya sheria,
na ni darasa la pekee sana kwa mawakili wengine vijana gentleman :NoGodNo:
 
Sahv atakuwa kiwanja anajitundika kinywaji

Ova
in fact hiyo ni muhimu sana, hasa ukilinganisha na wajibu mzito, muhimu na wa maana sana aliokua akiufanya kwa kwa niaba ya jamuhuri kwa kipindi kirefu katika tasnia ya sheria:NoGodNo:
 
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu habariki mifumo iliooza anaaicha ibaki maana lazima kuna consequence
 
Mungu habariki mifumo iliooza anaaicha ibaki maana lazima kuna consequence
pamoja na hizo hisia zako,
but nadhani wakili Nassoro Katuga ni mahiri na anafanya kazi nzuri sana katika masuala ya sheria, right gentleman? :NoGodNo:
 
No wonder zanzibar inakuwa kwa kasi kama dubai, vijana wake wanatuzidi akili, mawazo na maono, vijana wa Tanzania Bara tuko kwenye kupenda kukomoana, bila kujali pesa ngapi serikali inatumia kuendesha case kulipa majaji kulipa mawakili

It's like vijana wa Tanzania Bara tuna laana flan hivi
Gentleman,
pamoja na hisia zako huru nje ya hoja mahususi mezana,
bilashaka tunakubaliana kwamba wakili Nassoro Katuga ni darasa la kipekee sana kwa mawakili vijana nchini right? :KKonaW:
 
Acha unafiki na upumbavu ,mawakili wa serikali wanasema lissu hakutaja mashaidi .wewe na maccm mlikuwa wapi hamkusikia. Alafu unasifia unafiki
 
Acha unafiki na upumbavu ,mawakili wa serikali wanasema lissu hakutaja mashaidi .wewe na maccm mlikuwa wapi hamkusikia. Alafu unasifia unafiki
records zote majaji wanazo,

just relax gentleman :KKonaW:
 
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Tunashukuru ametuonyesha kesi ya vichekesho na dharau kubwa imeonyesha kwa nchi yetu. Yaani mashahidi ambao hawajui wala kukumbuka chochote! Tunashukuru Lissu ameonyesha tofauti ya akili na uchawa. Huyu ndiye mzalendo namba moja Tanzania. Sema "nonsense" yako ya kichawa
 
mbona hamkua mnacheka sasa badala yake mlikua manapiga mayowe tu, mnarusha mikono na kutukana:pedroP:
 
Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' Jaji Ndunguru
Au maneno hayo ya jaji ni ya uongo?
Baadae akasema Lissu ana kesi ya kujibu kwa ushahidi' ulioletwa na upande wa mashtaka!

Haya naomba ufafanuzi maana jaji anaenda mbele halafu anarudi nyuma .
masuala ya uzito na kuaminika kwa ushahidi hua ni katika hatua ya hukumu ya mwisho.

kwa hatua ya sasa,
muhimu zaidi ni mkusanyiko wa ushahidi wa kimatiki dhidi ya mashataka husika :NoGodNo:
 
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hana ubobevu wowote zaidi anafanya kazi kwa memo kutoka magogoni

Hana issue
Na hili tulilijua toka jana kutoka kwa Wasira amesema hawamuachii

Maana wanajua moto wake
 
Kidumu chama cha mapinduzi na mwenyekiti wetu SSH
 
Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 1
Nani mwenye mihemko
WEWE NDIO UTULII KABISA NAONA 1 WALA 2 HAIKAI WAKATI UNAJUA UKWELI
i"m sorry gentleman if i have wronged you in anyway,

lets have friendly and honest conversations,
and i think iti will be much better.

well done Adv.Nassoro Katuga for a good job you are doing on behalf of the republic. :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom