Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,086
- 36,911
- Thread starter
- #41
Wakili mbobevu Nassoro Katuga hapigi mayowe, harushi mikono hewani wala hatibui minywele kama wendawazimu wengine kwenye viunga vya mahakama.Mnapiga makelele tu, hata Maamuzi ya mahakama hamjayasikiliza. Mahakama imesema haijaingia kwa kina kuangalia kama ushahidi kama unaaminika au la, Bali wameangalia jambo ambalo ni kama halijabishaniwa kati ya utetezi na mshataka.
Ni mwerevu mno,
ni mtulivu asie na papara, ni msikivu na hua hajibujibu tu kwa kuropoka kama watibua minywele, ila akijibu anakua katoa jibu haswa 🐒

