Well done wakili mbobevu Nassoro Katuga

Well done wakili mbobevu Nassoro Katuga

Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chizi ww
 
Mnafarijiana kama Wajane wapya mtaani.
hapo faraja iko wap kwenye jambo halisi na wazi kama hilo gentleman?

I told you mapema sana kwamba kibaraka hastahili kua huru hata kwa sekunde moja tu 🐒
 
hapo faraja iko wap kwenye jambo halisi na wazi kama hilo gentleman?

I told you mapema sana kwamba kibaraka hastahili kua huru hata kwa sekunde moja tu 🐒
Mmedhalilisha Maafande wameonekana hamnazo bado Bibi wa Ukoo wa Panya sasa.
 
Umesamehewa dhambi zako zote!
BC904E82-73C5-43DC-840E-65C9A2361210.jpeg
 
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mahakama ya kupigiwa simu by Rostam Aziz, ushahidi Gani wa uhaini
 
Kafanya nn mpaka kustahili kusifiwa huko?
Anafanya kazi zake kwa weledi na umahiri mkubwa sana,
na amesimana imara na vizuri sana kwenye nafasi yake kama wakili mbobevu nchini gentleman 🐒
 
Mahakama ya kupigiwa simu by Rostam Aziz, ushahidi Gani wa uhaini
Gentleman,
huenda kibaraka akishahukumiwa jela ndipo unaweza kupata akili ya kuelewa msingi wa mashtaka na athari zake kitaifa 🐒
 
Mnapiga makelele tu, hata Maamuzi ya mahakama hamjayasikiliza. Mahakama imesema haijaingia kwa kina kuangalia kama ushahidi kama unaaminika au la, Bali wameangalia jambo ambalo ni kama halijabishaniwa kati ya utetezi na mshataka.
 
Back
Top Bottom