Well done Mahakama huru ya Tanzania

Well done Mahakama huru ya Tanzania

Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Tanzanians are proud of you. Uamuzi wenu wa leo, umeongeza imani kubwa ya wananchi kwa mahakama huru ya Tanzania, lakini pia umechochea kukubalika na kuaminika kwa mahakama ya Tanzania, miongoni mwa waTanzania wote na dunia nzima kwa ujumla.

well done judges on duty, well done Free court of Tanzanian.

Kila mTanzania ameridhika na kazi yenu iliyotukuka na mataifa yote ya ulimwenguni yamefurahishwa na uwazi pamoja na uhuru uliopo katika mahakama ya Tanzania:ClapHD:

Mungu Ibariki Tanzania
Kuna watu humu waliitishia Mahakama mpaka kuielekeza nini cha kuamua. Wengine wakaenda mbele wakatabiri weeee, lakini mwishowe Mahakama imetoa hukumu ya haki! Kongole kwa Mahakama Kuu ya Tanzania!!
 
Paper ilivuja lakini.Unadhani huo ufaulu wake ni halali?
 
Kuna watu humu waliitishia Mahakama mpaka kuielekeza nini cha kuamua. Wengine wakaenda mbele wakatabiri weeee, lakini mwishowe Mahakama imetoa hukumu ya haki! Kongole kwa Mahakama Kuu ya Tanzania!!
uko sahihi 🤝💪
 
It's a fact...

Ukitaka kupata bunch of idiötš, nenda CCM, na matokeo ya huo uidiots unauona tu mitaani namna tu mambo yanavyoenda na hata mkisanuliwa huwa mnakuwa wakali....

Huu ni mfano mmoja ambao upo wazi, huwezi ukawa unajisifia unajenga mji wa kiserikali (sababu wanautumia wao), halafu ukawa umefeli kupanga miji mingine na kuhakikisha kuna makazi bora, tazama majiji yalivyo shaghalabaghala...

Sasa mtu ambaye kuplan mambo ni mzigo, ulitaka tumuite aje? Big time idiöţ
Gentleman,
,
unaweza kummarize porojo yako kwa faida ya kuokoa muda wa wadau wa JF?🐒
 
Zingatia neno "idiŏtś" (no hard feelings)
nadhani hiyo haihusiani na hoja mahususi mezani ispokua inaexpose tu jinsi ulivyo empty head with completely no new ideas but only mayhem 🐒
 
Ona sasa unaonesha tatizo lile lile nililotaja...damn CCM people!
 
Back
Top Bottom