Well done Mahakama huru ya Tanzania

Well done Mahakama huru ya Tanzania

Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Tanzanians are proud of you. Uamuzi wenu wa leo, umeongeza imani kubwa ya wananchi kwa mahakama huru ya Tanzania, lakini pia umechochea kukubalika na kuaminika kwa mahakama ya Tanzania, miongoni mwa waTanzania wote na dunia nzima kwa ujumla.

well done judges on duty, well done Free court of Tanzanian.

Kila mTanzania ameridhika na kazi yenu iliyotukuka na mataifa yote ya ulimwenguni yamefurahishwa na uwazi pamoja na uhuru uliopo katika mahakama ya Tanzania:ClapHD:

Mungu Ibariki Tanzania
Kwahiyo ile kesi yake ya uchochezi iliyopo Kisutu inakuaje mana mmetoa hukumu nakushitakiwa bila mlalamikaji wala mlalamikiwa kujitetea hiki ni kituko cha karne mmejivua nguo
 
Ulisema Lissu ni muhaini imekuwaje tena sasa sio muhaini ni mchochezi? maana ulibisha sana hapa
 
Jitahidi hata kutumia akili Basi japo huna hizo akili
sasa mbona mwenyewe akili unaacha hoja mahususi mezani na kuexpose mihemko yako tu nonsense jukwaani aise?.

si ukae kimya tu ikiwa uko pointless na itapendeza zaidi 🐒
 
Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Tanzanians are proud of you. Uamuzi wenu wa leo, umeongeza imani kubwa ya wananchi kwa mahakama huru ya Tanzania, lakini pia umechochea kukubalika na kuaminika kwa mahakama ya Tanzania, miongoni mwa waTanzania wote na dunia nzima kwa ujumla.

well done judges on duty, well done Free court of Tanzanian.

Kila mTanzania ameridhika na kazi yenu iliyotukuka na mataifa yote ya ulimwenguni yamefurahishwa na uwazi pamoja na uhuru uliopo katika mahakama ya Tanzania:ClapHD:

Mungu Ibariki Tanzania

Kitu ambacho mnaunda ni waasi ni matter of time. Bila mabadiliko hata nyie mna ndugu zenu na hamuwezi kuwalinda wote waasi wataanza kulipiza visasi kuweni makini
 
Ulisema Lissu ni muhaini imekuwaje tena sasa sio muhaini ni mchochezi? maana ulibisha sana hapa
mahakama huru ya Tanzania imeamua kama ilivyo amua na katiba ya Tanzania imeendelea kuheshimiwa na waTanzania wote.

ulipenda iweje gentleman na mihemko yako?🐒
 
usiseme Watanzania wote wakati kwasasa watanzania wengi wanataka katiba mpya
 
Kitu ambacho mnaunda ni waasi ni matter of time. Bila mabadiliko hata nyie mna ndugu zenu na hamuwezi kuwalinda wote waasi wataanza kulipiza visasi kuweni makini
kwamba wewe ni muasi na kiongozi wenu ni Lisu right? :pedroP:
 
usiseme Watanzania wote wakati kwasasa watanzania wengi wanataka katiba mpya
Gentleman,
mahakama huru ya Tanzania ni mali ya umma wa waTanzania wote na kwahivyo heshima na utii kwa katiba ya Tanzania ni kwa waTanzania wote ndani ya ardhi tukufu ya Tanzania 🐒
 
Kwahiyo ile kesi yake ya uchochezi iliyopo Kisutu inakuaje mana mmetoa hukumu nakushitakiwa bila mlalamikaji wala mlalamikiwa kujitetea hiki ni kituko cha karne mmejivua nguo
huo ni wajibu wa kizalendo wa mahakama huru ya Tanzania,
ni vizuri kua wastahilivu na wenye subra gentleman 🐒
 
Hivi hua mnalipwa Bei gani kuwa wapumbavu na kuuonyesha upumbavu wenu hadharani
Jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila mihemko wala makasiriko na itapendeza zaidi plz 🐒
 
Tatizo la CCM ni moja tu, wote hamna akili (hii ni fact)...

1. Huwa mnaamini mtu yeyote asiyeambatana na ilani au sera zenu basi ni mwanachama wa vyama vya upinzani.

2. Huwa mnaamini ninyi ni kundi ambalo haligusiki kwa namna yeyote kwa sababu mnajua vyombo vya dola vipo mfuko wa shati wa CCM...
acha porojo useless jukwaani gentleman,
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
 
It's a fact...

Ukitaka kupata bunch of idiötš, nenda CCM, na matokeo ya huo uidiots unauona tu mitaani namna tu mambo yanavyoenda na hata mkisanuliwa huwa mnakuwa wakali....

Huu ni mfano mmoja ambao upo wazi, huwezi ukawa unajisifia unajenga mji wa kiserikali (sababu wanautumia wao), halafu ukawa umefeli kupanga miji mingine na kuhakikisha kuna makazi bora, tazama majiji yalivyo shaghalabaghala...

Sasa mtu ambaye kuplan mambo ni mzigo, ulitaka tumuite aje? Big time idiöţ
 
Back
Top Bottom