Well done Mahakama huru ya Tanzania

Well done Mahakama huru ya Tanzania

Kione hiki

Hiloo wee siulisema ananyogwa kikowapii

Sasa kiburu ujeuri

Mmeona aibuu

Mmechonga kesi
Ambayo hata haikusikilizwaa

Suburi utaendelea kuaibika wewe na wafia dini na madaraka yanayonuka damu za watuuu

Eti hutuba ya chande imekuwa sehemu ya hukumu.

Wee na huyo uliempa sifa Katuga mnarudi kuomba mahakama etii impe kifungo kulingana na kosa

Angesema tuu ikulu imeagiza tumfunge miaka mitano
be brief plz gentleman because of time 🐒
 
mahakama huru ya Tanzania imetekeleza wajibu wake kwa uhuru na weledi,
wewe unaexpose mihemko na makasiriko jukwaani, are you surely okay mentally my Lady? :1Head:
Am okey in and out mr Chawa...
Nataka tu nikupe pole ww ulisema Lisu atanyongwa na ulikiri amefanya uhaini...vipi hapo umeridhika au unalilia chooni?.😱
 
😄😄😄😄😄 utashangaa Ma CHADEMA yanatukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu

Tatizo la CCM ni moja tu, wote hamna akili (hii ni fact)...

1. Huwa mnaamini mtu yeyote asiyeambatana na ilani au sera zenu basi ni mwanachama wa vyama vya upinzani.

2. Huwa mnaamini ninyi ni kundi ambalo haligusiki kwa namna yeyote kwa sababu mnajua vyombo vya dola vipo mfuko wa shati wa CCM...
 
Am okey in and out mr Chawa...
Nataka tu nikupe pole ww ulisema Lisu atanyongwa na ulikiri amefanya uhaini...vipi hapo umeridhika au unalilia chooni?.😱
No,
you just feel free to name me, call me, insult me as you wish.

na mimi huna haja ya kunipa pole au kunionea huruma kwasababu mimi ni political scientist nilie very flexible occasionally na nilie very aware over political dynamics globally.

So,
I'm very ready to every political, social and economic outcomes.

Hata hivyo,
ni wazi mahakama huru ya Tanzania imefanya kazi kubwa na nzuri sana kwa weledi na uhuru mkubwa sana.

kweli si kweli?🐒
 
Leo siku yenu ya furaha na mwenzio mauzinde.
Ibilisi kaitikia maombi yenu mhaini kafungwa.
Gentleman,
in fact ni furaha kwa waTanzania wote kwasababu mahakama huru ya Tanzania imefanya kazi kubwa kwa uhuru na uwazi na haki na katiba ya Tanzania imeshinda 🐒
 
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA!

Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka.

Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo.

Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua).

Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja.

Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa.

Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA.

Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani.

Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu.

UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA!

BAK MWABUKUSI
Kwasababu ya muda,
mwambie mwabukusi asamarize porojo yake na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Naamini wakati unaandika huu uzi wewe mwenyewe ulikua unajicheka, ila umeupost kutimiza wajibu wako.
Yes,
in fact mimi na waTanzania wote tunafurahia weledi na uhuru wa mahakama huru ya Tanzania,

na tunafurahia zaidi haki na katiba ya Tanzania kushinda kesi 🐒
 
Back
Top Bottom