Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,737
- 41,413
Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Tanzanians are proud of you. Uamuzi wenu wa leo, umeongeza imani kubwa ya wananchi kwa mahakama huru ya Tanzania, lakini pia umechochea kukubalika na kuaminika kwa mahakama ya Tanzania, miongoni mwa waTanzania wote na dunia nzima kwa ujumla.
well done judges on duty, well done Free court of Tanzanian.
Kila mTanzania ameridhika na kazi yenu iliyotukuka na mataifa yote ya ulimwenguni yamefurahishwa na uwazi pamoja na uhuru uliopo katika mahakama ya Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania