Weledi wa makamba

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
177
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?
 
Mimi naona Makamba yuko effective sana kwenye nafasi aliyonayo na ndio maana haachi kuwa gumzo vinywani mwa wapinzani wake.
 
Makamba anaelimu ya darasa la saba, nasikia aliwahi kuwa mwalimu , kisha mwanajeshi. zaidi ya yooote ndio mwanaCCM mwenye akili zaidi , ikihisiwa IQ ni kubwa kuliko woooote na anaaminika zaidi, na anakarama ya uongozi kuliko ccm wooote na ndio maana kwa kutumia uwezo wake wakufikiri alishawishi kuajiriwa kwa Tabwe Hiza , Chiligati kama wasaidizi wa mwenyekiti wa ccm Taifa, ni yeye alieshauri fomu yakutafuta wadhamini Ya JK itembezwe na Ridhwani.kile kichwa adimu ccm.
 
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?

Dude....!! get a life, will you?, the guy's almost 100 years...lol
 
duh makamba mzee wa kuchakachua nasikia alisoma tanga tech shule ya kwanza ya tanzania
 
:becky::becky::becky::becky:
 
Jamani mbavu zangu mie lol!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?

January mwanawe wa kumzaa anapata tabu na Babae anajua kuwa ni mbwatukaji sembuse ww ndugu yangu wa mbali na ukoo wao tabu lazima uipate
 
Makamba kielelezo cha akili za wanaCCM walio wengi.
 
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?

.
Nnani kakuambia mgosi anasoma?
 
bwaaa haaaaa ,kwakwaaaaa kwawawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
BornTown:"January mwanawe wa kumzaa anapata tabu na Babae anajua kuwa ni mbwatukaji sembuse ww ndugu yangu wa mbali na ukoo wao tabu lazima uipate"

ktk moja ya posts za leo .. au jana imeelezwa kuwa January ni mwanae wa kufikia kwa mke mhaya na wala sio mwanae wa kumzaa... aliyetoa hoja hiyo anaweza akathibitisha hilo.
 
mm nnashawishika kuamini kuwa makamba ni tishio la CHADEMA na hawapi raha hata kidogo maana inaonekana hata wakilala wanamuwaza makamba wakinywa pia.

sasa msijidai ooh mropokwaji semeni kiboko yetu, pasua kichwa ngoma nzito na mengine
 
Wagosi hao wazee wa kuchonga ila shule ni taabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…