Akikutafuta utampiga mzinga na wakati kachacha mbaya aiseee!Mbona hujanitaarifu?
Hahahahaha...... Nimejaribu kujiweka nikajihisi kibanwa mie...... Bora sie tunalea mwanetu
Copy kwa ladyfurahiasweetlady, sorry mke wangu ni Evelyn Salt!!!
Mbona hujanitaarifu?
this time The secretary akiondoka harudi tena.. Hela za msimu zimemponza Bishanga....na bado anadaiwa Pride na Finca
kwa kweli hau fit hapo... si tulee mwanetu wakati tunajiandaa kwa ajili ya mwingine
Hahahahaha......... Mwingine tena????? Lol
Erickb52 mbona mnanifanyia ivo lakini bro!??Copy kwa ladyfurahia
Erickb52 mbona mnanifanyia ivo lakini bro!??
Afu Mungi una makelele.........hebu nyamaza utaniamshia mtoto
Sasa si umekiri mwenyewe kwa kinywa chako kuwa ladyfurahia humtaki????
Hapo Nicas Mtei kama ana akili atakuwa ameelewa vizuri