sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
sasa mmem-cc wa nini!??
Sa kumbe unataka mwenzio aishi kwa matumaini?
sasa mmem-cc wa nini!??
Sa kumbe unataka mwenzio aishi kwa matumaini?
tumeshalijadili chumbani!!!
Marhaba.....hujambo Lucas?
Aje athibitishe mwenyewe hapa....... Mie imani na wewe sina kabisa
aaah sweetlady mimi?? of all the gentlemen in JF...ebu muulize Nicas Mtei..nikisema mm ntakuwa najisifia!!!
Afta 3 years basi...
Hapana bana........tufanye afta 7yrs vile bado umri unaturuhusu
Sawa. Ntakufikiria
Hahahahah.............kufikiria tena?.......lol
Hahahaha yan mpaka nimeshangaa manake bidada ladyfurahia anavyojishauaga na huyo Mentor lol
dah! kwa kweli nimeshangaa ujue..... Hebu jiweke hapo kwenye nafasi ya ladyfurahia