Welcome back my lovely wife Charty

charty hebu njoo utuambie nani mumeo wa halali maana mnatuchanganya maana mara leo kibo mara tena Rich so yupi ni halali?

In diva's voice....mwanasheria wangu kanikataza kuongelea jambo hilii...bwahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mrembo akikosea bahat mbaya duuu noma sana ila kwan huna no yake au kama ulitaka umma ujue ungeandamana na mabango
 
Honey Faith mamito mmbea wewe..ha ha ha ha ha..unankosha tu mie
Miss u kaka akee kiwatengu where are you Excel

nipogo hapa hapa bidada kan'!

nimekumiss miss jamani, naingia usiku sana mjengoni nowadays! UE ishanishika shingo! huhuhuuu!

nikiwa huru ntakuja mzima 24 seven just for you!

usiku mwema!
 
nipogo hapa hapa bidada kan'!

nimekumiss miss jamani, naingia usiku sana mjengoni nowadays! UE ishanishika shingo! huhuhuuu!

nikiwa huru ntakuja mzima 24 seven just for you!

usiku mwema!

Jamani shem bado unasoma?mie najua ulishamaliza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…