WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED.

WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED.

alberttt

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
50
Reaction score
120
WEKEZA NA ZSB TANZANIA COMPANY LIMITED.
ZSB Tanzania Company Limited ni kampuni iliyo sajiliwa mnamo 14/11/2008 na kupewa cheti(hati) cha usajili no.107-513-183. ZSB ina ofisi zake mkoni Mwanza, Shinyanga na Dar-es-Salam. Kwasasa kampuni hii imejikita kwenye Masuala ya Ulinzi ambapo imepewa vibali vya kuendesha shughuli zake katika wilaya mpya ya kigamboni na kwingineko ndani ya Dar es salam.
ZSB Tanzania Company Limited, inakukaribisha (yeyote) kwa atakae kuwa na nia ya kuwekeza katika kampuni hii na utapewa unafuu wa kumiliki Share 50(asilimia 50) kwa shilingi milioni mbili tu. Kampuni hii ina Silaha4 ambapo kuna Magobole 3 na Shortgun 1, pia ofisi yake kwa Dar es salam inapatikana Maeneo ya Machava(Kigambono).
Manufaa atakayopata Mtu baada ya kuwekeza na kampuni hii ya ZSB Tanzania Company Limited inayojishughulisha zaidi na mambo ya ulinzi ;
a)Ni kampuni pekee iliyopewa kibali cha kuendesha Shughuli za Ulinzi katika Wilaya Mpya ya Kigamboni ambayo ina uhitaji mkubwa wa huduma ya Ulinzi.

b) Kumiliki nusu ya Share za kampuni kwa Gharama ya kawaida.

c) Kutokana na kwamba hii ni kampuni na ina uwanda mkubwa wa dhima(Objective), Muwekezaji ataruhusiwa kujikita katika Dhima nyingine yoyote iliyomo ndani ya (MEMORANDUM&ARTICLE OF ASSOCIATION OF ZSB TANZANIA COMPANY (T),kama atahitaji kufanya hivo.

Ni tumaini langu kama Mkurugenzi wa Kampuni ya ZSB tutashirikiana katika hili.

Mawasiliano Zaidi:0716385824

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom