Asante kwa taarifa, mimi ninapenda kuwekeza ila hapa nchini naona kama uwazi na uwajibikaji wa makampuni yanayouza hisa ni mdogo sana na vile wananchi wengi wananunua shares ambazo haziwawezeshi kuwa na maamuzi wala kuwa na taarifa muhimu za kampuni hizi mimi naona kununua hisa bado ni risk sana. Labda kupitia mwamko huu tutaelimishana zaidi. Asante