Wekeni hapa ahadi zote za Samia 2025-2030

Wekeni hapa ahadi zote za Samia 2025-2030

Nimetumia alama ya kuonyesha imekuja neno kijiji, nimejaribu kumuangalia nimekuta alijiunga 2012, na mara ya mwisho alikuwapo humu 2015, topic alizoandika ni 4 tu. (?)
 
Tunataka tuje tumkamate kwa uongo

1: Amesema atanunua ma tractor milioni 10 akichaguliwa kuwa Rais
Amesema atajenga barabara ya chini ( subway road ), unadumbukia Posta unaibuka Mbezi
 
Thread dhaifu hii,

Unaamini atapata Nafasi hiyo kutuongoza?

HATOGOMBEA
 
matrekita 10,000 millioni

But world production of tractors does not exceed 4 millions
Magari yote Tanzania hayafiki milioni kumi Tangu uhuru.
Amesema atajenga barabara ya chini ( subway road ), unadumbukia Posta unaibuka Mbezi
Hizi ni ahadi za mtu ambaye hayuko serious. Ni kama anaongea na wana taarabu wenzake akiwa tungi, au maongezi ya kijiweni.
 
Tunaomba utekelezaji wa 2020 kwanza, nini kimefanyika kwa asilimia ngapi na nini bado na kwa nini hakikufanyika. Ili tujue tunatatuaje tatizo

SGR Tz to Burundi, Dom to Mza

Vipi viwanda?
 
Back
Top Bottom