Wekeni hapa ahadi zote za Samia 2025-2030

Producers watapata special bulk order kutoka Tz
Mh! ndiyo siasa hizo za udanganyifu!. World cpacity ni hiyo, sasa unaiongezaje?

Data hii ya tractor production/manufacture nimeitoa kwa Lema, and I believe it to be correct!
 
Haukumbuki akiwa mgombea mwenza wa jiwe, kwenye kampeni dom alisema ataanzisha kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu?
Siasa hazipendi ukweli
 
Kashindwa miaka 10 aliyokaa, sita km makamu na minne km rais..!!
 
Back
Top Bottom