Cherry vs Dotto
Haya tunaita magagana Mbeya huko au gaga..
Ila unajua nini mwanetu, kiukweli ukiwahiwa unapona kabisa
Mkuu watu wanachoka wanajiachia kidogo kama hivi, unacheka kidogoNasema hivi
90% ya mada zote za JF ni upuuzi tuu.
Lissu anapambania watu wasiostahili kupambaniwalissu unaona watu unaowapambia kiasi cha kupoteza mambo mengi maishani
Hadi hili kwako linachekesha basi tumetofautiana sana aina za vichekoMkuu watu wanachoka wanajiachia kidogo kama hivi, unacheka kidogo
Ah..ah...Kuna vitu ukiviona unaisoma akili ya mtu na kujiuliza alikuwa anawaza nini unaishia kucheka chap,Hadi hili kwako linachekesha basi tumetofautiana sana aina za vicheko