Weka picha, maneno wataweka wengine

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
821
1,000
Picha ya kwanza,kijana,Tukikusimika pale magogogoni je unaweza kuturudishia makinikia?
tatizo sina uwezo wa kumshinda aliyepo sasahivi sina wafuasi wengi na kuna mzee mmoja kwetu anamvi nyingi sana sijui kama atakubali kuniachia
 
Top Bottom