Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
Picha za mwanzo kuja Jamii forums siku ilikabiliwa na low turnout kwenye vituo vya kupiga kura.
Baadae ikawa matembezi ya vijana kutoka maeneo ya Kimara.
Halafu zikaja picha za uharibifu wa mali ambazo zilijumuisha duka Bilnass, Vituo vya mwendokasi na matukio mengine mikoa mengine.
Baada ya kuona ule umati mdogo, mimi binafsi nilianza kuwaombea na kuandika humu wale watoto wanaenda umizwa (japo sikuwa fikiria serikali inaweza fanya unyama ule).
Ni ngumu kushawishi watoto wa watu wengine wakati tena. hakuna mzazi timamu anaweza kubali mtoto wake ajaribu tena.
Lema ni mzazi hata kama biological kids wake wapo Canada atakuwa irresponsible kutaka watoto wa wenzake wapoteze maisha kwa vita ambayo hawawezi shinda.