Weka Oda Yako Ya Samaki Kilo 9,500/= tu.

Mkuu sisi wa mikoani huona kama kutakuwa na changamoto kwenye kutuma mzigo? Make logistics inahusisha mabasi na wale hawabebi mzigo bila malipo ya kabla.
Wewe unasema malipo on delivery!

Toa ufafanuzi wa kina. Vinginevyo utaambulia hasara. Siku hizi uaminifu umekuwa mdogo sana ndg...
 
Hapa insbidi awe na mtu wake kila mkoa
 
Mkuu sisi wa mikoani huona kama kutakuwa na changamoto kwenye kutuma mzigo? Make logistics inahusisha mabasi na wale hawabebi mzigo bila malipo ya kabla.
Wewe unasema malipo on delivery!

Toa ufafanuzi wa kina. Vinginevyo utaambulia hasara. Siku hizi uaminifu umekuwa mdogo sana ndg...
Wateja wa DAR malipo baada ya mzigo kupokea.

Wa mikoani bhado nafikiria namna ya kuwafikia. Mana changamoto ni uaminifu kama ulivosema.
 
079 531 536 9

Agiza kiasi chochote unachohtaji.

Mnaohitaji mzigo mkubwa kazi kwenu.
Piga au tuma meseji.

079 531 536 9
nipo simanjiro mkuu nahitaji kilo 2 mchana wa leo fanya kutuma mbio mbio me ntalipia kwa 1kg tsh.10k
 
Physical address ya biashara sina, lakini mimi napatikana Ubungo.

Bei ya kilo inategemea na size unayohitaji. Niambie unahitaji size ipi niwasiliane na mwenzangu anaekusanya mzigo anipe bei.

Karibu sana. Malipo baada ya kupokea mzigo.
Kwani Tasi mkuu wanakuwa na size kubwa kama sangara? Tasi mkubwa si anakua kama Changu tu kwenye hizo picha zako?
 
Physical address ya biashara sina, lakini mimi napatikana Ubungo.

Bei ya kilo inategemea na size unayohitaji. Niambie unahitaji size ipi niwasiliane na mwenzangu anaekusanya mzigo anipe bei.

Karibu sana. Malipo baada ya kupokea mzigo.
1770127017378.png
 
Back
Top Bottom