ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 261
- 452
- Thread starter
- #41
Mteja, niambie unahitaji size ipi, niwasiliane na mtu aliekuwa chimbo anipe bei ya size unayotaka.Weka picha.
Ukiridhika na bei akutafutie.
Mteja, niambie unahitaji size ipi, niwasiliane na mtu aliekuwa chimbo anipe bei ya size unayotaka.Weka picha.
NIpo Minjingu Manyara.Naam kama upo Dar na unahitaji, weka oda nitaituma hii picha Chimbo wanipe bei ya hii size nikujulishe Boss.
Sawa.Mteja, niambie unahitaji size ipi, niwasiliane na mtu aliekuwa chimbo anipe bei ya size unayotaka.
Ukiridhika na bei akutafutie.
Ni kiasi gani unahitaji ?NIpo Minjingu Manyara.
Kuna ndugu yangu mama lishe keko ,nitamuagiza aje kuchukua akaange kisha kuna mtu atakuja manyara atakuja nao ,samaki wa maji baridi JAU.
Nitakufahamisha ngoja ni align na muhusika ambaye ataandaa nijue capacity yake.Ni kiasi gani unahitaji ?