Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,059
- 74,465
In stid
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
In stid
Tamka Yundai
MithTamka na hii Myth
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
KooCore
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
DetermineCore
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Samahani nilikupotosha ni Liriks
TeiboTable
Cable
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ditamin
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hakuna neno detamine.Sio detamain ??hahah
Kuna herufi kwenye kiingereza licha ya kuandikwa, kwenye kutamkwa huwa zinafichwa.Teibo
Keibo
Unajua huu Uzi tunafanya kama kuelezea utamkaji wa neno la kingereza kwa mfumo wa kiswahili...Kuna herufi kwenye kiingereza licha ya kuandikwa, kwenye kutamkwa huwa zinafichwa.
Ni Teibl
Caibl na hapo ndio nilipokuwa nashindwa kuwaelewa watu neno tebo na kebo yalipotokea.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hakuna neno detamine.
Kwenye kiingereza kuna herufi licha kuandikwa kwake kwenye matamshi huwa zinafichwa.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Maini kwa maana herufi e ya mwisho huwa haisikiki ndio maana inasikika min, ukisababisha herufi e ya mwisho isikike basi ndipo neno maini litasikikaHapo Kwenye determine kuna herufi gani inafichwa Kwenye kutamkwa?
Neno la kizungu ukitaka kulipeleka kwenye kiswahili lipeleke kwa tafsiri tu sio neno lenyewe na hapo ndipo tunapowaharibu watoto wetu badala ya kuwafundisha kiingereza fasaha tunajikuta tunawafundisha kiingereza kichafu, kitu ambacho ni ngumu sana baadae kuja kuwabadilisha na hapa ndio negundua ndipo tunapowaharibu. Leo hii mtoto ukimwambia atamke,Unajua huu Uzi tunafanya kama kuelezea utamkaji wa neno la kingereza kwa mfumo wa kiswahili...
Kiswahili sarufi yake hairuhusu neno liishie na konsonati...lazima liishie na irabu
So ndiyo maana tunaandika tebo na kebo lakini in reality ingekuwa keibol na teibol...
Lakini mkuu hiyo 'o' ni ya muhimu
Kuelezea matamshi kwa lugha tofauti kuna ugumu kwasababu ya utofauti wa sarufi
Fikiria mimi ni mmarekani sijui kiswahili unawezaje kunielewesha kwa maandishi jinsi ya kutamka Ng'ombe??