Mbona ni rahisi tu, Lock simu yako then kabla hujai unlock si inakuitisha pin sasa chini ya hyo space ya kuandika pin Kuna maandishi ya 'Emergency' double click hayo maandishi then itakupeleka kwenye sehemu ya ku add contacts kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha niliyoambatanisha na threadHebu elekeza vizuri bas tuelewe.
Hua tuna block piaSmartphones zote ziko nazo. labda hizi simu ndogo...na sidhani kama Kuna watu wanalock simu ndogo za batani
Labda kama itahusisha ku download altenative app ila feature kama hiyo huwezi kuipata kwenye kila smartphoneSmartphones zote ziko nazo. labda hizi simu ndogo...na sidhani kama Kuna watu wanalock simu ndogo za batani
Mkuu sio kila simu inakupa access ya kubonyeza hayo maandishi ya emergency.Mbona ni rahisi tu, Lock simu yako then kabla hujai unlock si inakuitisha pin sasa chini ya hyo space ya kuandika pin Kuna maandishi ya 'Emergency' double click hayo maandishi then itakupeleka kwenye sehemu ya ku add contacts kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha niliyoambatanisha na thread
Pamoja mkuu japokuwa umekimbia kule kwenye Uzi wa UKWELI MCHUNGUAsante mleta mada kwa kunifundisha hili. Sasa hivi nimefanya kwenye simu yangu na imefaa.
Haya mambo madogo madogo lakini yenye umuhimu ndio yameendelea kuwafanya wazungu kuwa mbele kimaendeleo kuliko sisi tunaopuuzia.
Amenmungu akubariki sana nimefanikiwa pia
Sasa kama hayabonyezeki yanakuwa na Kazi gani hapo?Mkuu sio kila simu inakupa access ya kubonyeza hayo maandishi ya emergency.
Simu zingine hayo maandishi hayabonyezeki
HujanielewaSasa kama hayabonyezeki yanakuwa na Kazi gani hapo?