Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

Hebu elekeza vizuri bas tuelewe.
Mbona ni rahisi tu, Lock simu yako then kabla hujai unlock si inakuitisha pin sasa chini ya hyo space ya kuandika pin Kuna maandishi ya 'Emergency' double click hayo maandishi then itakupeleka kwenye sehemu ya ku add contacts kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha niliyoambatanisha na thread
 
Smartphones zote ziko nazo. labda hizi simu ndogo...na sidhani kama Kuna watu wanalock simu ndogo za batani
Labda kama itahusisha ku download altenative app ila feature kama hiyo huwezi kuipata kwenye kila smartphone
 
Mbona ni rahisi tu, Lock simu yako then kabla hujai unlock si inakuitisha pin sasa chini ya hyo space ya kuandika pin Kuna maandishi ya 'Emergency' double click hayo maandishi then itakupeleka kwenye sehemu ya ku add contacts kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha niliyoambatanisha na thread
Mkuu sio kila simu inakupa access ya kubonyeza hayo maandishi ya emergency.

Simu zingine hayo maandishi hayabonyezeki
 
Asante mleta mada kwa kunifundisha hili. Sasa hivi nimefanya kwenye simu yangu na imefaa.

Haya mambo madogo madogo lakini yenye umuhimu ndio yameendelea kuwafanya wazungu kuwa mbele kimaendeleo kuliko sisi tunaopuuzia.
Pamoja mkuu japokuwa umekimbia kule kwenye Uzi wa UKWELI MCHUNGU
 
Sasa kama hayabonyezeki yanakuwa na Kazi gani hapo?
Hujanielewa

Ukii lock simu, ni kweli kuna maandishi ya emergency yanaonekana kwa chini
1656759436290.jpg

Na ukiya click yakupeleka kwenye dial ambako huko hutapata access ya kusave number yoyote

1656759517385.png
 
Back
Top Bottom