Weka dunia kiganjani mwako bila malipo!!!

Weka dunia kiganjani mwako bila malipo!!!

Fatilia post hapa chini utapata gharama kamili ila dishi la futi 6 ni sh135000 dishi futi 8 ni sh 370000 ila unaweza ukapata used toka kwa watu,kuna baadhi ya Watu wamezitelekeza juu ya paa kwa sababu hawajajua matumizi yako.Napatikana mwanza ila kama unahitaji Huduma hyo mkoani kote mafundi wenzangu wanapatikana naweza kuwaunganisha na kazi ikaenda vizuri
Hongera mkuu kwa ufafanuzi, mimi nilitaka kuuza dishi langu la futi 8 mafundi wa mitaani wakataka kunipa 70,000/ eti! Nikakutana na fundi wangu wa siku nyingi akaniambia hakuna haja ya kuliuza twende nyumbani kwangu ukaone, si nchezo yeye ameweka LNB 2 tu na anapata Free Chanel zaidi ya 370 zikiwepo zinazoonyesha EPL live, n.k. Mpaka sasa sijaliuza nipo najipanga na mimi nikanunue hiyo Receiver ya Full HD (MPG4) Ili nikaweze kuenjoy kama yeye! Hivyo watu wasidharau hii issue ni ya kweli kabisa!
 
Hayo madish yapo mengi tu bei ni kati ya 75000 na 80000 bila LNB unapata chanel kulingana na mwelekeo wake au Satelite. Movie kibao ila soccer bado mtihani. Mimi natumia hadi leo hii.
 
Kwanza kabisa nitoe shukurani kuja kwenu kwenye Uzi huu na kusema nilichokiandika ni kweli syo ubabaishaji.Hii ni elimu adimu mno ila nikaona na mm nisiwe mchoyo kwani na mm nilifundishwa na watu
 
Week ya pili sasa sports 24 imejifunga, kuna namna yoyote naweza fanya?
S 24 kwa sasa unapatikana kwenye receiver ya alphabox X6+,gsky V5,V6,V7.STRONG 4950,4955,4962i.freesat v8 golden.Hometech.hizo receiver nilizokutajia ndiyo wameshatoa software ya s 24.Wengine bado tunasubiria kama freesat
 
Hongera mkuu kwa ufafanuzi, mimi nilitaka kuuza dishi langu la futi 8 mafundi wa mitaani wakataka kunipa 70,000/ eti! Nikakutana na fundi wangu wa siku nyingi akaniambia hakuna haja ya kuliuza twende nyumbani kwangu ukaone, si nchezo yeye ameweka LNB 2 tu na anapata Free Chanel zaidi ya 370 zikiwepo zinazoonyesha EPL live, n.k. Mpaka sasa sijaliuza nipo najipanga na mimi nikanunue hiyo Receiver ya Full HD (MPG4) Ili nikaweze kuenjoy kama yeye! Hivyo watu wasidharau hii issue ni ya kweli kabisa!
Ni la bati/wavu? Hiyo ni Mali mkuu hata kama vyuma vimekaza itunze tu mpaka siku vyuma vilainike utakuja kununua receiver ya MpG4 yenye powervu software.
 
Hayo madish yapo mengi tu bei ni kati ya 75000 na 80000 bila LNB unapata chanel kulingana na mwelekeo wake au Satelite. Movie kibao ila soccer bado mtihani. Mimi natumia hadi leo hii.
Ni kweli soccer bado ni mtihani ndiyo maana wanatutesa na upgrading kila siku lkn kama utakuwa na madishi mengi angalau 3ukategesha east na west huwezi kupitwa na soca.mfano juzi nakuna kampuni yoyoye ya king'anuzi iliyorusha mechi lkn ilipatikana mcot HD na mcot family hapo 78e pamoja na kwamba sport 24 alikuwa ameshatupa mkono
d7c168af22c8c77206e6c33429fdc630.jpg
 
Ni kweli mimi nimeweka mwelekeo wa 7 w Natumia KU burudan kibao tu ila mpira sipati kama kuna uwezo wa kuona epl niambie
Najua unaburudika na akina MBC package, ungetafuta dishi lingine ufunge 68.5e & 78e cband hapo 68.5 kuna muda sony six na sony espn wanarusha pia hapo 78 kuna mcot HD na mcot family
 
Pia kama utakuwa na dishi la ziad la Ku funga 16e huo uqelekeo wa west. KWANI UKO MKOA GANI? Zola7 maana hiyo sat ya 16 kuna baadhi ya mkoa hawapati
 
Najua unaburudika na akina MBC package, ungetafuta dishi lingine ufunge 68.5e & 78e cband hapo 68.5 kuna muda sony six na sony espn wanarusha pia hapo 78 kuna mcot HD na mcot family
Asante mkuu
 
Najua unaburudika na akina MBC package, ungetafuta dishi lingine ufunge 68.5e & 78e cband hapo 68.5 kuna muda sony six na sony espn wanarusha pia hapo 78 kuna mcot HD na mcot family
Asante mkuu
 
Garama zako mkuu
Mkuu gharama ya kufunga ni ndogo sana mfano kama dishi moja tunaweka vichwa3 nitakudai 35000 bila gharama inakuja kwenye kununua vifaa INA maana dishi na receiver. Gharama zake nimbainisha hapo juu fatilia
 
Back
Top Bottom