Weka dunia kiganjani mwako bila malipo!!!

Weka dunia kiganjani mwako bila malipo!!!

jakomala

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
514
Reaction score
367
kutokana na mchezo mchafu unaofanywa na makampuni ya ving'amuzi namaanisha kukatika kwa channel zote pia malipo kuwa ya juu sana vile vile hili swala la kusaidia wananchi TCRA wameshindwa kabisa kuingia kwenye mazungumzo na wamiliki wa TV.Sasa achana na hao mm Nina uwezo wa kukufungia channel zinazonyesha mpira, movie(action, Nigeria, Ghanian, kihindi,kiarabu,Thailand),music,cartoon kwa ajili ya watoto nyumbani,entertainment kama channel za wanyama.Kuwa wa kwanza kuona goli lililofungwa kabla ya wenye ving,amuzi
655a25b40e7742d841848d27be8e0086.jpg

38d98d83cd9992521807369b3a057655.jpg

HII[emoji121] NIMEFUNGA NYUMBANI KWAKO
4e2c04090e66e843698b1f8a2a0ac038.jpg

ee057c97df5316510fa5036b66acd42c.jpg

[emoji121]Kuweka kichwa(LNB)zaidi ya moja kwenye dishi moja ili kupunguza gharama ya kutafuta dishi lingine
244dc988999849888478bc0857915c26.jpg

[emoji121] Kiunganishi cha kuunganishia vichwa(LNB) ili kwenye receiver iliokondani iende waya moja
15b274fdb7d474140b1fbcf1f5d3dd01.jpg

[emoji121] waya moja ulioenda ndani kama unavyoona kwa hyo kazi ni kubadilisha tu channel kwa remote syo kwenda nje kubadilisha kichwa
KWA MAELEZO ZAIDI ULIZIA NITAKUJIBU.
 
Mbona sijaona sehemu uliyo zungumzia Simu kufanikisha utazamaji wa hizo channel...!?

Nilivutika na kichwa cha habari, kuiweka Dunia katika Kiganja...!
 
Haya madude watu huwa wanayajaribu lakini nafikiri labda LNB huwa zinakufa ama upepo huyasumbua na channel kupotea mara kwa mara. Asilimia kubwa wa waliokuwa wanayamiliki sasa wapo kwenye vingamuzi vya garama sijui tatizo ni nini hata haya madish hayapo sokoni kama zamani
 
Haya madude watu huwa wanayajaribu lakini nafikiri labda LNB huwa zinakufa ama upepo huyasumbua na channel kupotea mara kwa mara. Asilimia kubwa wa waliokuwa wanayamiliki sasa wapo kwenye vingamuzi vya garama sijui tatizo ni nini hata haya madish hayapo sokoni kama zamani
Cheap is expensive
 
Haya madude watu huwa wanayajaribu lakini nafikiri labda LNB huwa zinakufa ama upepo huyasumbua na channel kupotea mara kwa mara. Asilimia kubwa wa waliokuwa wanayamiliki sasa wapo kwenye vingamuzi vya garama sijui tatizo ni nini hata haya madish hayapo sokoni kama zamani
Mkuu haya madishi yapo sokoni lkn kwa baadhi ya maduka,tena mpaka umtafute mwenyeji anayefahamu maduka hayo lkn kama unaulizia maduka ya ving'amuzi hawayajui tena bei siku hizi IPO juu kuliko zamani.receiver zilizokuja siku hizi ni za kisasa ni MPG4 ambapo channel nyingo zipo kwenye mfumo huo Siyo MPG2 kama za zamani
 
0aeeb3d490b4c4c0b4fb51778d19ee92.jpg

[emoji121] MUSIC CHANNEL
38d0fd121107bdf6c10c7017df872116.jpg

[emoji121] GAMES CHANNEL
bfe49ce55067431c19eb8b893a67df6b.jpg

[emoji121] NIGERIAN MOVIE CHANNEL
6e4cb4764f8c5e29897bcd51bedbe9d5.jpg

[emoji121] CARTOON CHANNEL
a3aea543ac0ab6a49357564a238a2d77.jpg

[emoji121] ANIMAL PLANET CHANNEL
855896b8c0343c9a24f324e3fa31ac97.jpg

[emoji121] ACTION MOVIE CHANNEL
b0f4967146b4e6753455446e212528c3.jpg

[emoji121] Receiver yenye uwezo wa kufungua channel hizo ambapo inakuwa na uwezo kufungua key(kufuli) kama kuonyesha channel kama unavyoona hapo juu
851de9c9cefbc764c8c86d9d057e6833.jpg

[emoji121] hizi receiver (decoder) ni shilingi 135000-180000 bila dishi huwa zina update kama unavyoona kwenye screen hapo inamaana nimei update Mara ya mwisho 27/11/2017 lkn yenyewe ilikuja na update ya mwezi wa saba 2016 .Watengenezaji huwa wana release software ili channel zifunguke pale ambapo huwa inaleta shida.
2b6383f97b7d6a8afb3aa1aa5bd5cd68.jpg

ab4630bb0f840b4ea83b0172aa5ca8b1.jpg

[emoji121] kichwa kimoja ni kati ya sh15000-35000
KWA WANAOSEMA NI UONGO NIMEWEKA KILA KITU WAZI CHANNEL UMEONA,RECEIVER UMEONA NA HUWEZI KUSEMA NIMETOA KWENYE MTANDAO,UNAONA MAZINGIRA HALISI YA NYUMBANI KWANGU.TAHADHARI TU NI KWAMBA KWA WALE WANAOHITAJI CHANNEL ZA MOVIE ZA KIBONGO NA CHANNEL ZA AZAM HAMTAPATA LABDA KAMA CHANEL ULIZONAZO WATAJIUNGA NAO.mm siibi channel wala Ku hack decoder ya kamapuni yoyote ila Kule wanapotoa channel na kuingia na mkataba naona na sisi tunachukua huko huko tena kuna kuna channel nzuri ambapo huwezi ukakuta kwenye baadhi ya ving'amuzi.
MWANZO NI GHARAMA ILA BAADA YA HAPO UNAFURAHIA CHANNEL NZURI BILA MALIPO.uliza swali nitakujibu
 
Gharama za kuunganishwa ni kiasi gani? Na wewe unapatikana wapi hapa Tanzania ndugu jakomala ?
Fatilia post hapa chini utapata gharama kamili ila dishi la futi 6 ni sh135000 dishi futi 8 ni sh 370000 ila unaweza ukapata used toka kwa watu,kuna baadhi ya Watu wamezitelekeza juu ya paa kwa sababu hawajajua matumizi yako.Napatikana mwanza ila kama unahitaji Huduma hyo mkoani kote mafundi wenzangu wanapatikana naweza kuwaunganisha na kazi ikaenda vizuri
 
Daah ama kwel mkuu unaweza but kwenye suala la goli kuingia kabla ya wenye ving'amuzi kuona[emoji23]
 
yaan kama kwenye hizo sports ulizosema,ety mtu akiwa na hzo system zako anawahi kuona goli haraka kuliko ving'amuzi
Yaani ww utamaliza kushangilia ndipo utasikia kule ukumbini wanaamka kushangilia.Hii hutokana na makampuni ya ving'amuzi hawana channel bali huwa wanaingia makubaliano na channel husika ndipo wanapewa connection btn yeye na wamiliki lkn sisi katika ufundi tunachukua channel direct kutoka Satelite bila kupitia kwanza sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom