Weka dua yako kwa wasaliti

Weka dua yako kwa wasaliti

Mwanaume yoyote anaemsaliti mke wake au mpenzi wake
"Mvua ya mawe imnyeshee, virusi vya Corona visimuache, kitendea kazi chake na kisinyae, mikono yake iote funza, kila hela anyoshika ipoteee."

Kwa wanawake
"Mungu atusamehe"
Amen oooo Amen!!
 
Wanaume wasaliti wote wapate ajali, ambulance ikija kuwachukua nayo ipate ajali idondokee kwenye mto, mtoni samaki mkubwa aje awameze, samaki avuliwe na binadamu kabla ajaliwa paka aje ale yule samaki amvunje vunje. Sidhn km wtbk ata alama.

Amina kubwaaaa
 
Kama kweli kuna demu humu jf anamsaliti kidume chake papuchi yake ilegee iwe kama ya mmama aliezaa mapacha Mara 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom