utafiti na parking yake unanunua au
Maana mpaka lipi;te kwenye mataa ikiwaka ya kijani itawaka nyekundu kabla halijamalizika
Ukiangalia vizuri ndani utamuona kukucd na mwanangu miss chagga tukienda kula bata
baba i love u tell then your bussy now dady
Sure mwanangu... Na #TEAMRAFIKI Mr Rocky atasimamia vizuri
ndiyo baba mzuri.... Mr Rocky fanya kazi vizuri ya kusimamia hii team ole wako iende ndivyo sivyo
Na Mndengereko tupo, najua kila kitu kitakua vizuri mwanangu..
Hapana sio
Hebu nisubiri hapo nje nikupe lift